Haina haja ya kumuuliza lisu tumeishajuwa kuna baraka za chama cha chadema kwenye hilo kwa maslahi ya waume zao na kiongozi mkuu wa chamaPamoja na covid-19 kubeba uongozi wa juu wa BAWACHA, lkn pia Kuna:-
1. Mke wa Benson Kigailla.....naibu katibu mkuu bara.
2. Mke wa Salum Mwalimu (naibu katibu mkuu Zanzibar).
3. Mke wa Ally Bananga (yuko ccm sasa).....alikuwa meneja kampeni wa mgombea urais wa chadema.
Bila shaka kama Mnyika angelikuwa na mke kipindi hicho, basi mkewe pia angekuwemo.
Ni kweli kuwa hawa wanawake wakiingia bungeni bila mkono wa Mbowe na waume zao??
Naomba swali hili afikishiwe mzee wa ukweli na uwazi, Tundu Antipas Lissu.
Kuna mtu alikuwa anasema chadema ni sawa na kikoba sasa ndio imezihiliWalipelekwa na Mnyika halafu Job akamkata demu wa J J yule Peneza na kumuweka Nusrat
Hapo ndipo ugomvi ulipoanzia wa J J kuikana Saini yake 🐼
Huyo mwanadada ni wa kuhurumiwa tu. Hakujua kuwa yeye ndiyo anatumikishwa.Muna dada mmoja huko bawacha wakuitwa Hilda Newton,
Kutwa kucha ilikua ni kuwatukana akina bulaya huko twitwer kumbe hajui iyo ni michongo ya watu tena viongozi wake🤣