Kwa kuweka mpira " kwapani" je CCM inakwenda mbele au inarudi nyuma?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Katika maisha yangu ya kisiasa sijawahi kushuhudia mgombea wa CCM akimkwepa au kukwepeshwa mpinzani wake hata mara moja kuanzia enzi za chama kimoja hadi vyama vingi.

Kuanzia ubunge wa mzee Warioba vs Wassira, enzi za Augustino Lyatonga Mrema vs Abdul Cisco Mtiro hadi msimu wa mzee Malecela vs Kibajaji.

Katika ligi zote hizo nilizotaja kama mifano fomu za wagombea zilipokelewa na figisu zikaachiwa kwenye uwanja wa Mapambano.

Ndio najiuliza misuli ya kifua cha CCM inazidi kuimarika au imeanza kusinyaa?!

Kwa kazi hii kubwa ya kuleta maendeleo kwa haraka iliyofanywa na serikali ya awamu ya 5 kuna haja gani ya kuwapa wapinzani visingizio vya kushindwa?.......au CCM inahujumiwa maana waswahili wana msemo wao eti ....Kikulacho ki nguoni mwako!

Maendeleo hayana vyama.
 
Ndio CCM yenu mnayoiita CCM mpya. Nasikia wanaomsifu mfalme wenu wote watakuwa wanakula mema mbingumi huku mkiwaangalia kwa jicho la husda wale wakosoaji wasioimba mapambio wakiwa wanasaga meno motoni. Ha ha haaa, CCM mpya raha sana maana mmeshatengeneza mungu wenu na hukumu mshaziandaa.
 
Wapinzani hawakuandaa wagombea wa Serikali za mitaa wakisubiri wanaokosa kuteuliwa na CCM.sasa mwaka huu hauna makapi...ndipo kilio kinapoanzia
Sasa wewe Jingalao hao waliokwepwa wakiwa na form zao mpaka wakakesha ofisini ni makapi ya wapi? Anyway, swali la kizushi; inamaana nyie kama mko makini mnaogopa makapi yenu? Punguza ujinga maana huwezi kuacha.
 
Katika maisha yangu ya kisiasa sijawahi kushuhudia mgombea wa CCM akimkwepa au kukwepeshwa mpinzani wake hata mara moja kuanzia enzi za chama kimoja hadi vyama vingi.

Kuanzia ubunge wa mzee Warioba vs Wassira, enzi za Augustino Lyatonga Mrema vs Abdul Cisco Mtiro hadi msimu wa mzee Malecela vs Kibajaji.

Katika ligi zote hizo nilizotaja kama mifano fomu za wagombea zilipokelewa na figisu zikaachiwa kwenye uwanja wa Mapambano.

Ndio najiuliza misuli ya kifua cha CCM inazidi kuimarika au imeanza kusinyaa?!

Kwa kazi hii kubwa ya kuleta maendeleo kwa haraka iliyofanywa na serikali ya awamu ya 5 kuna haja gani ya kuwapa wapinzani visingizio vya kushindwa?.......au CCM inahujumiwa maana waswahili wana msemo wao eti ....Kikulacho ki nguoni mwako!

Maendeleo hayana vyama.
Leo wamekuibia ID sio bure, ila hongera kwa kusimamia ukweli
 
Ndio CCM yenu mnayoiita CCM mpya. Nasikia wanaomsifu mfalme wenu wote watakuwa wanakula mema mbingumi huku mkiwaangalia kwa jicho la husda wale wakosoaji wasioimba mapambio wakiwa wanasaga meno motoni. Ha ha haaa, CCM mpya raha sana maana mmeshatengeneza mungu wenu na hukumu mshaziandaa.
Aiseeee, Ewe mungu Jiwe tupatie mkate wetu wa kila siku tukishashiba tupande Drimulaina twende Hija Chatto.
 
Wapinzani hawakuandaa wagombea wa Serikali za mitaa wakisubiri wanaokosa kuteuliwa na CCM.sasa mwaka huu hauna makapi...ndipo kilio kinapoanzia

Hata ukija na utetezi wa upotoshaji, ukweli ni kuwa ccm sio imara, bali ndani ya miaka hii minne imekuwa ikafanya propaganda, na madaraka ya rais yametumika vibaya kuwahujumu wapinzani. Lakini kiukweli ccm kama chama sio imara, na hata Magufuli akitoka na kuingia rais mwingine anayeheshimu demokrasia ataiacha ccm isiyo weza ushindani wa kisiasa, zaidi ya kutegemea mabavu ya vyombo vya dola.
 
Hahahaaa....... Mimi ninahisi chama changu CCM kinahujumiwa kwa makusudi!

Hakihujumiwi, ila ni ukweli usioacha shaka kuwa ccm kama chama hakina uwezo tena wa ushindani wa kisiasa, zaidi ya kutegemea mbeleko ya vyombo vya dola na taasisi za kimamlaka. Uchaguzi huu umeiacha ccm wazi kuhusu uwezo wake wa siasa za ushindani.
 
Katika maisha yangu ya kisiasa sijawahi kushuhudia mgombea wa CCM akimkwepa au kukwepeshwa mpinzani wake hata mara moja kuanzia enzi za chama kimoja hadi vyama vingi.

Kuanzia ubunge wa mzee Warioba vs Wassira, enzi za Augustino Lyatonga Mrema vs Abdul Cisco Mtiro hadi msimu wa mzee Malecela vs Kibajaji.

Katika ligi zote hizo nilizotaja kama mifano fomu za wagombea zilipokelewa na figisu zikaachiwa kwenye uwanja wa Mapambano.

Ndio najiuliza misuli ya kifua cha CCM inazidi kuimarika au imeanza kusinyaa?!

Kwa kazi hii kubwa ya kuleta maendeleo kwa haraka iliyofanywa na serikali ya awamu ya 5 kuna haja gani ya kuwapa wapinzani visingizio vya kushindwa?.......au CCM inahujumiwa maana waswahili wana msemo wao eti ....Kikulacho ki nguoni mwako!

Maendeleo hayana vyama.
Nimesoma threads zako za leo, naona umeamua kuwa objective. Keep it up!!
 
Pamoja na hoja yangu ya siku zote kuwa ccm si chama cha siasa... Lakini hii ccm mpya ni genge la wahuni fulani linalongozwa na "praise and worship teams" in immeasurable imbecility.
Watafanya chochote - kinachowezekana na hasa kisichowezekana ili tu kumfurahisha mtukufu mfalme!
 
Katika maisha yangu ya kisiasa sijawahi kushuhudia mgombea wa CCM akimkwepa au kukwepeshwa mpinzani wake hata mara moja kuanzia enzi za chama kimoja hadi vyama vingi.

Kuanzia ubunge wa mzee Warioba vs Wassira, enzi za Augustino Lyatonga Mrema vs Abdul Cisco Mtiro hadi msimu wa mzee Malecela vs Kibajaji.

Katika ligi zote hizo nilizotaja kama mifano fomu za wagombea zilipokelewa na figisu zikaachiwa kwenye uwanja wa Mapambano.

Ndio najiuliza misuli ya kifua cha CCM inazidi kuimarika au imeanza kusinyaa?!

Kwa kazi hii kubwa ya kuleta maendeleo kwa haraka iliyofanywa na serikali ya awamu ya 5 kuna haja gani ya kuwapa wapinzani visingizio vya kushindwa?.......au CCM inahujumiwa maana waswahili wana msemo wao eti ....Kikulacho ki nguoni mwako!

Maendeleo hayana vyama.
CCM haijawahi kushinda penye ushindani wa haki , chama ni watu , ccm imepuuza hata wanachama wake kwa kutegemea polisi , haitowezekana tena ccm kushinda kwa halali , si Tanganyika si Zanzibar .
 
Katika maisha yangu ya kisiasa sijawahi kushuhudia mgombea wa CCM akimkwepa au kukwepeshwa mpinzani wake hata mara moja kuanzia enzi za chama kimoja hadi vyama vingi.

Kuanzia ubunge wa mzee Warioba vs Wassira, enzi za Augustino Lyatonga Mrema vs Abdul Cisco Mtiro hadi msimu wa mzee Malecela vs Kibajaji.

Katika ligi zote hizo nilizotaja kama mifano fomu za wagombea zilipokelewa na figisu zikaachiwa kwenye uwanja wa Mapambano.

Ndio najiuliza misuli ya kifua cha CCM inazidi kuimarika au imeanza kusinyaa?!

Kwa kazi hii kubwa ya kuleta maendeleo kwa haraka iliyofanywa na serikali ya awamu ya 5 kuna haja gani ya kuwapa wapinzani visingizio vya kushindwa?.......au CCM inahujumiwa maana waswahili wana msemo wao eti ....Kikulacho ki nguoni mwako!

Maendeleo hayana vyama.
CCM kama chama cha siasa ilishakufa,sasa hivi imekuwa ni genge linalotumia mabavu ya dola kutawala.
 
Wapinzani hawakuandaa wagombea wa Serikali za mitaa wakisubiri wanaokosa kuteuliwa na CCM.sasa mwaka huu hauna makapi...ndipo kilio kinapoanzia
Ungekuwa na akili timamu ungemuelewa mleta mada na kamwe usinge jibu kijinga namna hii,ila kwa vile umenyimwa akili na ukapewa ujinga kama unavyokiri mwenyewe kwa mujibu wa ID yako basi tunakusamehe bure.
 
Back
Top Bottom