johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Sasa wewe Jingalao hao waliokwepwa wakiwa na form zao mpaka wakakesha ofisini ni makapi ya wapi? Anyway, swali la kizushi; inamaana nyie kama mko makini mnaogopa makapi yenu? Punguza ujinga maana huwezi kuacha.Wapinzani hawakuandaa wagombea wa Serikali za mitaa wakisubiri wanaokosa kuteuliwa na CCM.sasa mwaka huu hauna makapi...ndipo kilio kinapoanzia
Leo wamekuibia ID sio bure, ila hongera kwa kusimamia ukweliKatika maisha yangu ya kisiasa sijawahi kushuhudia mgombea wa CCM akimkwepa au kukwepeshwa mpinzani wake hata mara moja kuanzia enzi za chama kimoja hadi vyama vingi.
Kuanzia ubunge wa mzee Warioba vs Wassira, enzi za Augustino Lyatonga Mrema vs Abdul Cisco Mtiro hadi msimu wa mzee Malecela vs Kibajaji.
Katika ligi zote hizo nilizotaja kama mifano fomu za wagombea zilipokelewa na figisu zikaachiwa kwenye uwanja wa Mapambano.
Ndio najiuliza misuli ya kifua cha CCM inazidi kuimarika au imeanza kusinyaa?!
Kwa kazi hii kubwa ya kuleta maendeleo kwa haraka iliyofanywa na serikali ya awamu ya 5 kuna haja gani ya kuwapa wapinzani visingizio vya kushindwa?.......au CCM inahujumiwa maana waswahili wana msemo wao eti ....Kikulacho ki nguoni mwako!
Maendeleo hayana vyama.
Wewe jiite pumbavulao sio jingalao maana kwenye ujinga umeshatoka umekubuhu /umefuzu.Wapinzani hawakuandaa wagombea wa Serikali za mitaa wakisubiri wanaokosa kuteuliwa na CCM.sasa mwaka huu hauna makapi...ndipo kilio kinapoanzia
Aiseeee, Ewe mungu Jiwe tupatie mkate wetu wa kila siku tukishashiba tupande Drimulaina twende Hija Chatto.Ndio CCM yenu mnayoiita CCM mpya. Nasikia wanaomsifu mfalme wenu wote watakuwa wanakula mema mbingumi huku mkiwaangalia kwa jicho la husda wale wakosoaji wasioimba mapambio wakiwa wanasaga meno motoni. Ha ha haaa, CCM mpya raha sana maana mmeshatengeneza mungu wenu na hukumu mshaziandaa.
Sawa mkuu, hii ndio ccm mpya isiyotaka ushindaniWapinzani hawakuandaa wagombea wa Serikali za mitaa wakisubiri wanaokosa kuteuliwa na CCM.sasa mwaka huu hauna makapi...ndipo kilio kinapoanzia
Hahahaaa....... Mimi ninahisi chama changu CCM kinahujumiwa kwa makusudi!Leo wamekuibia ID sio bure, ila hongera kwa kusimamia ukweli
Afadhali maana hiyo "m" ya mungu jiwe imekuwa lower case. Mungu wa MaKAiseeee, Ewe mungu Jiwe tupatie mkate wetu wa kila siku tukishashiba tupande Drimulaina twende Hija Chatto.
Huo muda wakuji-asess hawana as long as wanamiliki dola, na mtu 1 akiongea idara zote zinatetemeka, kwahiyo ushindi ni ushindi tu.Ndio najiuliza misuli ya kifua cha CCM inazidi kuimarika au imeanza kusinyaa?!
Wapinzani hawakuandaa wagombea wa Serikali za mitaa wakisubiri wanaokosa kuteuliwa na CCM.sasa mwaka huu hauna makapi...ndipo kilio kinapoanzia
Hahahaaa....... Mimi ninahisi chama changu CCM kinahujumiwa kwa makusudi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli wewe ni jingalao tena tahila lenye miraba minne.Wapinzani hawakuandaa wagombea wa Serikali za mitaa wakisubiri wanaokosa kuteuliwa na CCM.sasa mwaka huu hauna makapi...ndipo kilio kinapoanzia
Nimesoma threads zako za leo, naona umeamua kuwa objective. Keep it up!!Katika maisha yangu ya kisiasa sijawahi kushuhudia mgombea wa CCM akimkwepa au kukwepeshwa mpinzani wake hata mara moja kuanzia enzi za chama kimoja hadi vyama vingi.
Kuanzia ubunge wa mzee Warioba vs Wassira, enzi za Augustino Lyatonga Mrema vs Abdul Cisco Mtiro hadi msimu wa mzee Malecela vs Kibajaji.
Katika ligi zote hizo nilizotaja kama mifano fomu za wagombea zilipokelewa na figisu zikaachiwa kwenye uwanja wa Mapambano.
Ndio najiuliza misuli ya kifua cha CCM inazidi kuimarika au imeanza kusinyaa?!
Kwa kazi hii kubwa ya kuleta maendeleo kwa haraka iliyofanywa na serikali ya awamu ya 5 kuna haja gani ya kuwapa wapinzani visingizio vya kushindwa?.......au CCM inahujumiwa maana waswahili wana msemo wao eti ....Kikulacho ki nguoni mwako!
Maendeleo hayana vyama.
CCM haijawahi kushinda penye ushindani wa haki , chama ni watu , ccm imepuuza hata wanachama wake kwa kutegemea polisi , haitowezekana tena ccm kushinda kwa halali , si Tanganyika si Zanzibar .Katika maisha yangu ya kisiasa sijawahi kushuhudia mgombea wa CCM akimkwepa au kukwepeshwa mpinzani wake hata mara moja kuanzia enzi za chama kimoja hadi vyama vingi.
Kuanzia ubunge wa mzee Warioba vs Wassira, enzi za Augustino Lyatonga Mrema vs Abdul Cisco Mtiro hadi msimu wa mzee Malecela vs Kibajaji.
Katika ligi zote hizo nilizotaja kama mifano fomu za wagombea zilipokelewa na figisu zikaachiwa kwenye uwanja wa Mapambano.
Ndio najiuliza misuli ya kifua cha CCM inazidi kuimarika au imeanza kusinyaa?!
Kwa kazi hii kubwa ya kuleta maendeleo kwa haraka iliyofanywa na serikali ya awamu ya 5 kuna haja gani ya kuwapa wapinzani visingizio vya kushindwa?.......au CCM inahujumiwa maana waswahili wana msemo wao eti ....Kikulacho ki nguoni mwako!
Maendeleo hayana vyama.
CCM kama chama cha siasa ilishakufa,sasa hivi imekuwa ni genge linalotumia mabavu ya dola kutawala.Katika maisha yangu ya kisiasa sijawahi kushuhudia mgombea wa CCM akimkwepa au kukwepeshwa mpinzani wake hata mara moja kuanzia enzi za chama kimoja hadi vyama vingi.
Kuanzia ubunge wa mzee Warioba vs Wassira, enzi za Augustino Lyatonga Mrema vs Abdul Cisco Mtiro hadi msimu wa mzee Malecela vs Kibajaji.
Katika ligi zote hizo nilizotaja kama mifano fomu za wagombea zilipokelewa na figisu zikaachiwa kwenye uwanja wa Mapambano.
Ndio najiuliza misuli ya kifua cha CCM inazidi kuimarika au imeanza kusinyaa?!
Kwa kazi hii kubwa ya kuleta maendeleo kwa haraka iliyofanywa na serikali ya awamu ya 5 kuna haja gani ya kuwapa wapinzani visingizio vya kushindwa?.......au CCM inahujumiwa maana waswahili wana msemo wao eti ....Kikulacho ki nguoni mwako!
Maendeleo hayana vyama.
Ungekuwa na akili timamu ungemuelewa mleta mada na kamwe usinge jibu kijinga namna hii,ila kwa vile umenyimwa akili na ukapewa ujinga kama unavyokiri mwenyewe kwa mujibu wa ID yako basi tunakusamehe bure.Wapinzani hawakuandaa wagombea wa Serikali za mitaa wakisubiri wanaokosa kuteuliwa na CCM.sasa mwaka huu hauna makapi...ndipo kilio kinapoanzia