Kwa kuweka mpira " kwapani" je CCM inakwenda mbele au inarudi nyuma?

Huwa napenda Sana jinsi ulivyo huru, licha ya Kwamba baba yako so mtu Ni JIWE ⛰️ na anajinadi ameimarisha chama. Je chama imara kwanini kinauogopa upinzani dhaifu?
Jibi Ni rahisi kabisa CCM haikubaliki
 
CCM haijawahi kushinda penye ushindani wa haki , chama ni watu , ccm imepuuza hata wanachama wake kwa kutegemea polisi , haitowezekana tena ccm kushinda kwa halali , si Tanganyika si Zanzibar .
Hata Kongwa na Bumbuli?!
 
Ndugu yangu ni mmoja wa mawakala wa uchaguzi ,wamepewa warning wahakikishe CCM inashinda.Ole wao wamtangaze mpinzani kwani watakiona chamoto,,ccm haina uwanja wao,refa wao washindwe wenyewe tu.
 
Misuli inanyauka na sasa wanataka kupita bila kupingwa,hawana ubavu wa kuruhusu hats kura ya ndiyo au hapana kwenye sanduku LA kura.
Inasikitisha lakini huo ndiyo ukweli mchungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…