Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Ongeza eneo la kuegesha meli na kupakua mizigo siyo eneo la kuweka makasha ambayo yangeshushwa na kusafirishwa kwa treni, tatizo ni kutoziandaa nyaraka mapema kati ya mtumaji na mpokeaji.Nilikuwa naona kama watu wa bandari walafi tu wa eneo. Ila ukilinganisha na bandari zingine, bandari ya Dar ina eneo dogo sana. Bandari kubwa(kwa mizigo) zaidi Afrika ni ya Tangier, Morocco. Ina eneo la ardhi la ekari 2,500. Bandari ya Mombasa, Kenya ina jumla ya eneo la ekari 3,000. Ban mydari ya Durban, Afrika Kusini ina eneo la karibu ekari 5000. Hizi ni bandari kubwa sana Afrika. Bandari ya Djbout ina ukubwa wa ekari 1,700.
Tukirudi Dar es Salaam, eneo la bandari ni ekari 270 tu!! Ili kwenda sawa na hizo bandari kubwa Afrika, kuongeza eneo la bandari ya Dar Es Salaam naona kama ni muhimu.
Hizi ndio hoja sasa za JF ambazo siku hizi zimepotea kabisa!Nilikuwa naona kama watu wa bandari walafi tu wa eneo. Ila ukilinganisha na bandari zingine, bandari ya Dar ina eneo dogo sana. Bandari kubwa(kwa mizigo) zaidi Afrika ni ya Tangier, Morocco. Ina eneo la ardhi la ekari 2,500. Bandari ya Mombasa, Kenya ina jumla ya eneo la ekari 3,000. Ban mydari ya Durban, Afrika Kusini ina eneo la karibu ekari 5000. Hizi ni bandari kubwa sana Afrika. Bandari ya Djbout ina ukubwa wa ekari 1,700.
Tukirudi Dar es Salaam, eneo la bandari ni ekari 270 tu!! Ili kwenda sawa na hizo bandari kubwa Afrika, kuongeza eneo la bandari ya Dar Es Salaam naona kama ni muhimu.
Mimi kila nikiangalia fursa kutoka nchi zilizo tuzunguka na zinazotegemea bandari yetu najiuliza kwanini bado tuna hali kama hii ile bandari tu ilitosha kuiingizia taifa pato kubwa zaidi hata asilimia 90 ya mapato yote.. bandari ni mgodi wa dhahabu kabisa.Nilikuwa naona kama watu wa bandari walafi tu wa eneo. Ila ukilinganisha na bandari zingine, bandari ya Dar ina eneo dogo sana. Bandari kubwa(kwa mizigo) zaidi Afrika ni ya Tangier, Morocco. Ina eneo la ardhi la ekari 2,500. Bandari ya Mombasa, Kenya ina jumla ya eneo la ekari 3,000. Ban mydari ya Durban, Afrika Kusini ina eneo la karibu ekari 5000. Hizi ni bandari kubwa sana Afrika. Bandari ya Djbout ina ukubwa wa ekari 1,700.
Tukirudi Dar es Salaam, eneo la bandari ni ekari 270 tu!! Ili kwenda sawa na hizo bandari kubwa Afrika, kuongeza eneo la bandari ya Dar Es Salaam naona kama ni muhimu.
Kabisa. Ingekuwa moja ya bandari kubwa sana Afrika. Pengine tujenge nyingine.Mimi kila nikiangalia fursa kutoka nchi zilizo tuzunguka na zinazotegemea bandari yetu najiuliza kwanini bado tuna hali kama hii ile bandari tu ilitosha kuiingizia taifa pato kubwa zaidi hata asilimia 90 ya mapato yote.. bandari ni mgodi wa dhahabu kabisa.
Hilo la kuegesha nalo muhimu. Ila hayo maeneo nimeweka ni maeneo ya ardhini tu kwa bandari hizo. Nchi zingine wanayatumia kama EEZOngeza eneo la kuegesha meli na kupakua mizigo siyo eneo la kuweka makasha ambayo yangeshushwa na kusafirishwa kwa treni, tatizo ni kutoziandaa nyaraka mapema kati ya mtumaji na mpokeaji.
Ka isa ile ya tanga wangeiboresha iwe yakisasa ili meli zichague zenyewe pakushusha..Kabisa. Ingekuwa moja ya bandari kubwa sana Afrika. Pengine tujenge nyingine.
Yah, tungeboresha hiyo tungekuwa na uwezo mkubwa sana wa bandariKa isa ile ya tanga wangeiboresha iwe yakisasa ili meli zichague zenyewe pakushusha..
Bado kuna fikra za kizamani za kutegemea miundombinu na mipango miji ya mkoloni.Tanga Port, mtwara Port Kwa nini hazipewi uwekezaji mkubwa .
Tunawaza dar Port TU, and may be bagamoyo.
Original plan, Dar Port ilitakiwa iwe mpaka huku , shirika la reli ,magufuli sgr, nend mpaka MSD, kurudi huku mbagala road.
Sema ndio hivyo mipango sio matumizi kwa serikali ya CCM, wakaja na plan ya bagamoyo Port nayo ika failed.
Sasa sijajua kiuchumi Kwa nini hawaitaki kwala dry Port na kuhamia temeke
Mizigo ikipakuliwa kwenye meli inatakiwa iendelee na safari zake, tatizo nyaraka haziandaliwi mapema.Hilo la kuegesha nalo muhimu. Ila hayo maeneo nimeweka ni maeneo ya ardhini tu kwa bandari hizo. Nchi zingine wanayatumia kama EEZ
Ndo mnataka kuuza kata kumi za Temeke kwa Mwarabu. MumelaniwaTukirudi Dar es Salaam, eneo la bandari ni ekari 270 tu!! Ili kwenda sawa na hizo bandari kubwa Afrika, kuongeza eneo la bandari ya Dar Es Salaam naona kama ni muhimu.
Unaongezaje eneo ilihali ni bora ijengwe bandari bagamoyoNilikuwa naona kama watu wa bandari walafi tu wa eneo. Ila ukilinganisha na bandari zingine, bandari ya Dar ina eneo dogo sana. Bandari kubwa(kwa mizigo) zaidi Afrika ni ya Tangier, Morocco. Ina eneo la ardhi la ekari 2,500. Bandari ya Mombasa, Kenya ina jumla ya eneo la ekari 3,000. Ban mydari ya Durban, Afrika Kusini ina eneo la karibu ekari 5000. Hizi ni bandari kubwa sana Afrika. Bandari ya Djbout ina ukubwa wa ekari 1,700.
Tukirudi Dar es Salaam, eneo la bandari ni ekari 270 tu!! Ili kwenda sawa na hizo bandari kubwa Afrika, kuongeza eneo la bandari ya Dar Es Salaam naona kama ni muhimu.
Wenyenchi hawataki Tanga wanataka Dar, wao wanachoangalia ni zaidi ya bandari.Ka isa ile ya tanga wangeiboresha iwe yakisasa ili meli zichague zenyewe pakushusha..