Kwa kweli JamiiForums siyo ya mchezo hata kidogo!

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
7,894
Reaction score
22,679
Imagine humu Kuna wana member walitabiri ya magu na kuanzisha nyuzi kuhusiana na yatakayotokea ,na kweli Sasa imebaki stories...

La zaidi ni hili la recently kuhusiana na kujiuzulu kwa Nchimbi.....Kuna watu humu aisee wanaona mbali sana .

Threads zao au comments zao kuhusiana na kutabiri kwamba Nchimbi hatatoboa. ukizisoma zipo kama ramli zisizokuwa na mashiko ila Leo tunauishi ukweli wa waliyokuwa wakiyaleta humu...Noma sana .

NB:
Ndio maana makachero wa Miss wamefanya kijiwe chao cha kudumu humu. 🫵🫵😎
 
Pitia na hapo
 
Au sio
 
Sasa kama mambo hayo ni. Kweli kwanini Mimi msinipatie kazi ya mshahara mnono ni la saba mkondo B
Mshahara mnono la saba labda ukajaribu kwa mwamposa or else utasubiri mpaka kiama, degree wenyewe wanalipwa kama wafanya usafi itakuwa la saba! Endelea kutafuta kazi za kuzunguka kwenye kiti na ac ujione maajabu!
 
Watu humu hua hawataki tu kusema direct,na hutumia mbinu ya kusema wanatabiri,
Kuna watu wamo ndani ya yanapotokea hayo ila wanatumia tu fake ID ila ukweli wanao wao coz wamo ndani kabisa jikoni.
Yeah.. hata hili umesema hapa Kuna jamaa naye one day alisema kwamba Kuna watu wanatumia msemo wa kutabiri kwa ajili ya kusema ukweli ambao wanaujua haswa . Na hii ya kujifanya kutabiri nadhani ni technique ambayo inawaweka wao in a safe position ili wasigundulike direct.
 
Humu JF kaa kwa umakini. Mtu anaweza akasema Nchimbi yuko mbioni kujiuzulu kumbe anayesema hivyo ni Nchimbi mwenyewe.
Jf naipenda sana unaweza kubishana na kuchimbana biti na kikwete au seleman mombo au cdf au IGP na asikufanye kitu!

Hata ngumi unampiga kabisa na jino linamtoka,

Kumbe wewe ni kitoto cha elfumbili!
 
Jf naipenda sana unaweza kubishana na kuchimbana biti na kikwete au seleman mombo au cdf au IGP na asikufanye kitu!

Hata ngumi unampiga kabisa na jino linamtoka,

Kumbe wewe ni kitoto cha elfumbili!
Unaweza kukuta humu JF kitoto cha elfu mbili kinamwambia Mo Dewji ''Tafuta hela'' coz humu hatujuani coz ya hizi fake Identity zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…