Kwa kweli JamiiForums siyo ya mchezo hata kidogo!

Kwa kweli JamiiForums siyo ya mchezo hata kidogo!

Jf naipenda sana unaweza kubishana na kuchimbana biti na kikwete au seleman mombo au cdf au IGP na asikufanye kitu!

Hata ngumi unampiga kabisa na jino linamtoka,

Kumbe wewe ni kitoto cha elfumbili!
Unachosema ni kweli kabisa mkuu. Kipindi fulani kiongozi mmoja mkubwa sana akikerwa na mkewe n.k. anakuja humu kutafuta ugomvi, akirushiana makombora humu basi anapata utulivu.

Kwa hiyo sometimes JF ni kama sehemu ambako mtu anakuja kumaliza sumu.
 
Back
Top Bottom