Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
hahahaha,anakuletea dharau uliyempa kazi,..kuna dogo mmoja alinifuata ana kazi ,nikampeleka kampuni moja ya waturuki wanajenga viwanja vya afcon, kapata hela anasema mie nabania watu kupata kaziWakishika mishahara miwili tu wanasahau walipotika, watakutukana wewe na hicho kiajira ulichowasaidia😆