Kwa kweli JamiiForums siyo ya mchezo hata kidogo!

Kwa kweli JamiiForums siyo ya mchezo hata kidogo!

Imagine humu Kuna wana member walitabiri ya magu na kuanzisha nyuzi kuhusiana na yatakayotokea ,na kweli Sasa imebaki stories...
La zaidi ni hili la recently kuhusiana na kujiuzulu kwa nchimbi.....
Kuna watu humu aisee wanaona mbali sana .
Threads zao au comments zao kuhusiana na kutabiri kwamba nchimbi hatatoboa. ukizisoma zipo kama ramli zisizokuwa na mashiko ila Leo tunauishi ukweli wa waliyokuwa wakiyaleta humu...
Noma sana .
NB:ndio maana makachero wa Miss wamefanya kijiwe chao cha kudumu humu. šŸ«µšŸ«µšŸ˜Ž
Inawezekana ndiyo decision maker huko
 
Sasa pale wamenifananisha naye nikahisi ananizidi akili, kumbe nmefanana naye akilišŸ™†šŸ½ā€ā™€ļø
Sio kweli hata kidogo. Nyuma ya maandiko yako kuna kitu kikubwa sana nakiona, huwezi fananisha na upuuzi.
 
Kuna siku nimenda ofis moja nikakuta mkuu wa hiyo tasisi anasoma threads za JF, moyon familia kumbešŸ˜‚šŸ˜šŸ™Œ
 
Back
Top Bottom