Kwa kweli JamiiForums siyo ya mchezo hata kidogo!

Sio wote wakuu, kuweni na huruma na jobless!
Kuna issues nyingi kwenye kupeana chances.
●Uaminifu, wengi ni sifuri kabisa. Kumbuka mtu kutoa dhamana ila unakuta kijana sio mwaminifu.
●Uwajibikaji, wengi ni wavivu, wanataka pesa ila kazi hawataki kifanya.

Ndio maana wenye nafasi za kusaidia wanasita sana.
 
umejibu vzr mno ,hapo kwenye uwajibikaji, unampeleka mtu sehemu apate ajira, baada ya muda ana kua kiburi kwa wenzie kisa ulimpeleka wewe kwa boss na vile boss anakuheshimu ana mpa kijana kazi baada anakua mvivu ,anajua haguswi kisa ulimpeleka
 
Kuna issues nyingi kwenye kupeana chances.
●Uaminifu, wengi ni sifuri kabisa. Kumbuka mtu kutoa dhamana ila unakuta kijana sio mwaminifu.
●Uwajibikaji, wengi ni wavivu, wanataka pesa ila kazi hawataki kifanya.

Ndio maana wenye nafasi za kusaidia wanasita sana.
Ni kweli kabisa lakini mimi sipo hilo kundi boss babu😎
 
Back
Top Bottom