Kwa kweli JamiiForums siyo ya mchezo hata kidogo!

Imagine humu Kuna wana member walitabiri ya magu na kuanzisha nyuzi kuhusiana na yatakayotokea ,na kweli Sasa imebaki stories...
La zaidi ni hili la recently kuhusiana na kujiuzulu kwa nchimbi.....
Kuna watu humu aisee wanaona mbali sana .
Threads zao au comments zao kuhusiana na kutabiri kwamba nchimbi hatatoboa. ukizisoma zipo kama ramli zisizokuwa na mashiko ila Leo tunauishi ukweli wa waliyokuwa wakiyaleta humu...
Noma sana .
NB:ndio maana makachero wa Miss wamefanya kijiwe chao cha kudumu humu. 🫵🫵😎
Makachero uchwara wasiotofautisha CCM na Tanzania?
 
Ni Mpumbavu tu pekee ndiyo hadi leo hajajua kuwa JamiiForums ndiyo Mtandao pekee wenye kutoa taarifa za uhakika, za haraka na ni mahala pekee ambapo una uhakika wa kupata Uchambuzi wa Masuala mbalimbali na pia kupata Uzoefu mwingine wa Kimichango kutoka kwa Members wake Wabobezi katika maeneo husika. JamiiForums ni zaidi ya Redio, Gazeti na Runinga na Ashukuriwe na Abarikiwe sana Mtu / Watu walioamua kuja na huu Mtandao wangu pendwa hadi Kiama.
 
Nina uwezo wakubadili status muda wowote muhimu uwe unajua kutoa na kutumia pesa
Tuongee dm, ephen_ anaumia sana anadai namuumiza moyo sijatulia kabisa, huyu Binti huyu, sijui ananitafutia target anipige huu mshahara wangu wa laki na hamsini Kwa mwezi🤣🤣🤣🤣
 
Imagine humu Kuna wana member walitabiri ya magu na kuanzisha nyuzi kuhusiana na yatakayotokea ,na kweli Sasa imebaki stories...
La zaidi ni hili la recently kuhusiana na kujiuzulu kwa nchimbi.....
Kuna watu humu aisee wanaona mbali sana .
Threads zao au comments zao kuhusiana na kutabiri kwamba nchimbi hatatoboa. ukizisoma zipo kama ramli zisizokuwa na mashiko ila Leo tunauishi ukweli wa waliyokuwa wakiyaleta humu...
Noma sana .
NB:ndio maana makachero wa Miss wamefanya kijiwe chao cha kudumu humu. 🫵🫵😎
Mtu fudenge akitoka kuomboleza ajiandae kwa chochote kitu.
 
Na hii ndio sababu inayo nifanya niage na kurudi jamiiforums

Cc binti kiziwi The Icebreaker Vishu Mtata ephen_ na wengine.

Sio kwamba niliaga ninaondoka bali kujiwekea kando ila jicho liko humu masaa yote kama seeviliance camera 📸
Utulie mkuu, huku ukiwa mtulivu kama sisi wengine unapata hadi mke kimya kimya. Kama dini inaruhusu mkeo anakuunganisha na rafiki zake, wake wengine wadogo, ni nguvu yako ya kuwatunza tu. Kuwa mtulivu.
 
Ni kweli speculative lakini deep down wanajua kinacho jiri!!

Kuna wengine wameshaandika tayari Kuna uwezekano akaomba Pooh kwa tatizo la kiafya au shinikizo!!

Sisi tunaimba TU

Kazi na utu tunasonga mbele!!
ssh apambanie urais namna ile alafu aje apumzike ghafla kwa hoja ya tatizo la kiafya ?
 
Back
Top Bottom