Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Mimi hapa mfumo wa kazini umegoma nafurahia siendi kokotešHapana leo ni siku ya kulandua kichwa
Mimi hapa mfumo wa kazini umegoma nafurahia siendi kokotešHapana leo ni siku ya kulandua kichwa
Kama vp twende mayyote tubadiri madhari japo sio pazuri kivileeee!!!Tenga siku au mwezi basi twende zenji, kisiwa cha mafia au Arusha tukatembee walau siku mbili tatu
Ni zako dear!!! TATUMIA ZAKO KIPENZI.Hapo kwenye kutumia pesa unge bold kabisa lakini swali hizo pesa zakutumia ni za kwangu au zako dear?
Kuna siku mwaka 2022 nilikutana na shemeji yangu ambaye kipindi hicho alikuwa waziri, akataka tuongee kwenye gari yake binafsi aliyokuwa nayo siku hiyo, ile nafungua mlango wa abiria, nakutana na tablet kwenye kiti cha abiria cha mbele ikiwa display on, JF app ipo on display ikiwa na ID fulani.Jf naipenda sana unaweza kubishana na kuchimbana biti na kikwete au seleman mombo au cdf au IGP na asikufanye kitu!
Hata ngumi unampiga kabisa na jino linamtoka,
Kumbe wewe ni kitoto cha elfumbili!
Kula bia sasašMimi hapa mfumo wa kazini umegoma nafurahia siendi kokoteš
Nna dose, kufikia ijumaa ntakuwa hurušKula bia sasaš
Uwezo wa kwenda huko in short uchumi wangu jeuri hiyo Sina labda siku za mbeleni dear au Kuna namna utafanya dearš¤Kama vp twende mayyote tubadiri madhari japo sio pazuri kivileeee!!!
Leo dada_ upo serious sio nitenge bajeti uingie mitinNi zako dear!!! TATUMIA ZAKO KIPENZI.
Vijana bahili namna hii ndio siwezani nao kabisaaa.Uwezo wa kwenda huko in short uchumi wangu jeuri hiyo Sina labda siku za mbeleni dear au Kuna namna utafanya dearš¤
Kwa taarifa yako hata wanaoleta udwanzi Ni Moja ya njia Za kupunguza unyeti WA taarifa nyingi Za maana , 100% ya taarifa Za kizushi zinatolewa Na makachero ili kupunguza mkazo WA taarifa Mpyanikweli jf n bonge la forum mkuu..ingawa kweny wengi kuna mengi, kunabaadh ya member wanaleta udwanzi sna na mambo ya hovyo, ila haiondoi ukwel kuwa jf n bonge la kijiwe.
hahahahaha,kawaida tu kakaKaka kumbe we ni mhenga au mkongwe?
mie mwenyewe mstaafu,hahahahahausicheke!!!!! huyu wa abroad tukishindwana nita ku chek uniunge na mstaafu ulie karibu naye
DuuhVijana bahili namna hii ndio siwezani nao kabisaaa.
Mkuu nimewaza 2009 nilikua wapi mpaka nimechokahahahahaha,kawaida tu kaka
hahahahaha,ulikua wapi MkuuMkuu nimewaza 2009 nilikua wapi mpaka nimechoka
Nani wa kutoa hiyo mitaji, nendeni kwenye taasisi za fedha ndipo mitaji inapatikana.Tupeni mitaji, tukaitafute wapi
Yeah sahihinikweli jf n bonge la forum mkuu..ingawa kweny wengi kuna mengi, kunabaadh ya member wanaleta udwanzi sna na mambo ya hovyo, ila haiondoi ukwel kuwa jf n bonge la kijiwe.