Kwa kweli JamiiForums siyo ya mchezo hata kidogo!

Kwa kweli JamiiForums siyo ya mchezo hata kidogo!

Imagine humu Kuna wana member walitabiri ya magu na kuanzisha nyuzi kuhusiana na yatakayotokea ,na kweli Sasa imebaki stories...

La zaidi ni hili la recently kuhusiana na kujiuzulu kwa Nchimbi.....Kuna watu humu aisee wanaona mbali sana .

Threads zao au comments zao kuhusiana na kutabiri kwamba Nchimbi hatatoboa. ukizisoma zipo kama ramli zisizokuwa na mashiko ila Leo tunauishi ukweli wa waliyokuwa wakiyaleta humu...Noma sana .

NB:
Ndio maana makachero wa Miss wamefanya kijiwe chao cha kudumu humu. 🫵🫵😎
JF ni credible source ya mengi
 
Pitia na hapo
Huu ni ukweli mtupu, kumuweka Lema pale ni kosa kubwa sana walifanya akina Lissu. Lema ni double agent, kumbuka aliemshika mkono Lema hadi hapo alipo ni Freeman na wote ni wa kaskazini, na Freeman ni agent wa Miss , sasa hapo ukiunganisha dots wala hauhitaji kujua rocket science utapata jibu. Hilo ni kosa kubwa sana la kiufundi la CDM lililofanywa baada ya kumeguka.
 
Naam, tena wewe utakuwa umepitia season nyingi za jf , bado imebaki kuwa bora pamoja na mapitio mengi iliopitia.
Yaani jeiefu ni kama mziki wa rhumba na soukoous pale DrC Congo. Licha ya nchi hiyo kupitia misukosuko ya kisiasa tokea miaka ya Patrick Lumumba ,bado mziki wa Congo umeweza ku maintain ubora wake
 
Back
Top Bottom