Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Hahaha umenikumbusha kitu, jamani tuache kuchukulia poa ids.. kuna mama zetu humu😁Humu Jf unaweza ukamwita mtu "malaya" kumbe ni mama ako mzazi
Hahaha umenikumbusha kitu, jamani tuache kuchukulia poa ids.. kuna mama zetu humu😁Humu Jf unaweza ukamwita mtu "malaya" kumbe ni mama ako mzazi
HatutakiNani wa kutoa hiyo mitaji, nendeni kwenye taasisi za fedha ndipo mitaji inapatikana.
Imagine humu Kuna wana member walitabiri ya magu na kuanzisha nyuzi kuhusiana na yatakayotokea ,na kweli Sasa imebaki stories...
La zaidi ni hili la recently kuhusiana na kujiuzulu kwa Nchimbi.....Kuna watu humu aisee wanaona mbali sana .
Threads zao au comments zao kuhusiana na kutabiri kwamba Nchimbi hatatoboa. ukizisoma zipo kama ramli zisizokuwa na mashiko ila Leo tunauishi ukweli wa waliyokuwa wakiyaleta humu...Noma sana .
NB:
Ndio maana makachero wa Miss wamefanya kijiwe chao cha kudumu humu. 🫵🫵😎
Usinifokee we binti!Hatutaki
Sasa kazi mtunyime na mitaji pia😏Usinifokee we binti!
Mitaji ya mtaani ina gharama sana!!Sasa kazi mtunyime na mitaji pia😏
Kivipi?Mitaji ya mtaani ina gharama sana!!
Ukichelewesha marejesho unanangwa, unatangazwa, unaaibishwa.Kivipi?
Asante kwa kunitia faraja bebi.Usiogope! Mambo madogo hayo..
Eenh siwezi hizo zote acha nizeekee kwetu😱Ukichelewesha marejesho unanangwa, unatangazwa, unaaibishwa.
Kuna ile ya kutumika kabla ya kupewa, lazima utumike kweli kweli.
Nikoje jamani??? sina haki ya kuwaelewa wastaafu???Ahaa madam..😎😎😄😄😄 kwanini upo hivyo lakini?🤣🤣
Tupange meeting mstaafu nione nawezaje kukaa hapomie mwenyewe mstaafu,hahahahaha
hahahahaha,wewe tu ,usiniue kwa presha tu, na uzee huuTupange meeting mstaafu nione nawezaje kukaa hapo
🤣🤣🤣ila jf bhana nilishawahi kumtolea sumu Lucas Mwashambwa hadi akapoa sasa sijui ni nani huko juu ila alitimua mbioHalafu kuna mtu kama Tarzan,
Yeye haanzishi Uzi mpaka alewe kwanza.
Ni kweli JF ilipata heshima kama ilivyokuwa Twitter enzi zile kwa hiyo ina watu wa kila aina na rank zoteWengi humu wapo jikoni ,kunakopikwa chakula , hivyo wanatokosa kwenye jungu kuu kabisa , I'd za kificho zinaficha mengi.