Kwa kweli JamiiForums siyo ya mchezo hata kidogo!

Kwa kweli JamiiForums siyo ya mchezo hata kidogo!

umejibu vzr mno ,hapo kwenye uwajibikaji, unampeleka mtu sehemu apate ajira, baada ya muda ana kua kiburi kwa wenzie kisa ulimpeleka wewe kwa boss na vile boss anakuheshimu ana mpa kijana kazi baada anakua mvivu ,anajua haguswi kisa ulimpeleka
Mwambie mapema kabisa ukiharibu tusijuane milele!. Mnawadekeza!
 
Imagine humu Kuna wana member walitabiri ya magu na kuanzisha nyuzi kuhusiana na yatakayotokea ,na kweli Sasa imebaki stories...
La zaidi ni hili la recently kuhusiana na kujiuzulu kwa nchimbi.....
Kuna watu humu aisee wanaona mbali sana .
Threads zao au comments zao kuhusiana na kutabiri kwamba nchimbi hatatoboa. ukizisoma zipo kama ramli zisizokuwa na mashiko ila Leo tunauishi ukweli wa waliyokuwa wakiyaleta humu...
Noma sana .
NB:ndio maana makachero wa Miss wamefanya kijiwe chao cha kudumu humu. 🫵🫵😎
Ila humu kuna historic yaani nyuzi zililiwa zinatisha
 
Back
Top Bottom