KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,118
- 40,850
HapanaWewe ni ndugu yangu katkit? Alikuwa a atumia picha kama hiyo profile
Si mimi
HapanaWewe ni ndugu yangu katkit? Alikuwa a atumia picha kama hiyo profile
Wiki 3 tuu? Hata HIV Ina incubation period!Kama sio mke wangu sijui ningekuwa wapi saivi.nimeumwa balaa karibu wiki tatu.hata kujilisha sikuweza mke wangu ndiyo alikuwa ananilisha.kwa kwel mke ana faida kubwa maishani.
hawa hudhuriagi vikao ndo maana yanawatesaHahahaa. Kwenye hilo uko peke yako Mkuu.
Wenzako huko wanawaambia wenza wao nakupenda kila uchwao asubuhi, mchana na jioni.
itabidi alejee andiko "ishi nae kwa hakili" sio jana na leo hata kesho pia.Wanaume tunaridhika na vitu vidogo sana toka Kwa mwanamke. Hapo mwana ameshajisahau tayari