Kwa kweli mke ana faida kubwa katika maisha

Kwa kweli mke ana faida kubwa katika maisha

Mkuu hongera sana kwa kupata furaha ya ndoa!
Kimsingi kuna tija nyingi za ndoa kuliko hasara.
Chanzo kikuu cha ndoa kuwa na dosari ni kukosea kuoa/kuolewa. Watu wanachangua wasio sahihi wakiamini mambo yatabadilika baadaye. Kigezo kikuuu cha vijana wengi hasa wa sasa ni mtu anayemhitaji siyo anayempenda. Unakuta mtu anachagua mwanamke mwenye kimo kikubwa cha upeo (knowledge) kuliko yeye kisa tu anahisi atamwezesha kupata mali au mafanikio fulani. mkiingia tu kwenye ndoa na mwanamke aliyekuzidi itabidi aidha wewe ukubali kuwa mke au uanzishe mapambano ya kutafuta hadhi na kuheshimiwa ambapo hatma yake huwa mifarakano isiyoisha. Kwani mwanamke atakudharau na hatokuwa na utii kwako. Akipata shida hasa wakati wa pre monopose atawakimbilia wenye upeo mkuu badala ya wewe jambo ambao ni sumu kwenye ndoa. Utii ni matokeo ya power kichwani siyo sixpack au msingi kiuno. IQ ndio uzaa mafanikio na power.

Kwa upande wa wanawake ukiwa na IQ kubwa sana jua hiyo ni baraka katika mafanikio lakini ni mtihani katika kupata mume bora, kwani wanaume wengi wenye IQ kubwa kuliko wewe ni adimu na wachache waliopo hawahitaji IQ ya ziada bali tulizo na furaha ya moyo. Wanataka akitoka kwenye miangaiko yake wewe uwe tulizo la stress na uweze kuwa administrator wa home affairs ikiwemo kulea watoto na kuratibu masuala ya shule. Bila kusahau uwe fundi na sawa katika mazingira yako ambako ndio mpango mzima. wanawake wa pwani hasa Tanga wanalimudu eneo hili ipasavyo ingawa nao wana changamoto zao. Solution ni wewe kuoa badala ya kuolewa ambapo unatafuta mwanaume ambaye ni too weak ambao kwa sasa wapo wengi kitaa then unamuoa, kumhudumia na kumwongoza huku ukijua fika kuwa wewe ndio star.

Note: Kwa sababu yoyote ile mkizinguana au mkichokana na mwanaume mwenye IQ atakuachia nyumba magari na atawatunza watoto bila shida, kwani mafanikio kwake yapo kichwani. Mkizinguana na mwanaume ambaye ana upeo mdogo kifuatacho ni matishio ya maisha kwani hakuna ambaye atakuwa tayari kuruhusu mali ziondoke kama ilivyotokea kwa Kweka Vs the Iron lady herself marehemu Jane
 
Note: Kwa sababu yoyote ile mkizinguana au mkichokana na mwanaume mwenye IQ atakuachia nyumba magari na atawatunza watoto bila shida,
kwa mijibu wa maelezo yako kumbe na mimi nina IQ bwana 😂😂😂😂
kwani mafanikio kwake yapo kichwani.
Kwenye hili nakubaliana na wewe. Within 2 years baada ya kuacha kila kitu, nilipo leo sipo pale tena. Na hapa huwa nawaza kama nisingekuwa nawasomesha watoto ningekua mbali zaidi
 
hii comment yako imenihuzunisha sana, iko hivi huku mtandaoni na ground ni tofauti. unaotuona tunaandika negatives apa ukija uku ground sisi ndo tunaongoza kuhusudu wanawake. mimi binafsi naongoza kuchukia wanawake huku mtandaoni ila ukija kwenye uhalisia mimi nawapenda sana na siwezi kuishi bila nyie bora tu nife 😂 maisha ya mwanaume yanarevolve kwa mwanamke for more than 85%


just to let you know binti kiziwi
Kuna mtu kasema huko juu kuwa hata kwenye kikao mmeambizana hakuwa kuwaambia wanawake nakupenda, Sasa wa huku nje wanaotuambia nakupenda hawahudhurii vikao au ndio wasaliti 😀
 
Kuna wanaume wamebahatika kupata wake wema, ila wanaume wengine ni vilio tu insta, TikTok na Jf binti kiziwi
Ila huu uzi ulikuwa wa jambo zuri, Watu wakaleta negativity zao ndio maana tumewamind.

Kuna wenzetu wanapiga matukio kweli kweli, ukija uzi wa hivyo watu wakatiririka negative ni sawa, Sio uzi wa mwenzako mzuri unaunyeshea mvua ya miba!
 
Mimi rafiki yangu mke alimkimbia baada ya kupata stroke...na akapeleka kesi mahakamani nyumba iuzwe kila mtu apite hivi....

Jamaa kaamua kuacha na kesi kamuachia nyumba iwe ya kwake yeye karudi zake kijijini anaishi na mama yake.....

Kweli moyo wa mtu ni kiza kinene kwa jinsi nilivyokuwa namuona shemeji sikutegemea kama angefanya ukatili ule

Yeah it's too painful. Wanawake wana roho ngumu sana sometimes. Yote kwa yote Mungu ndio wa kumtegemea siku zote na si kiumbe.
 
Mimi rafiki yangu mke alimkimbia baada ya kupata stroke...na akapeleka kesi mahakamani nyumba iuzwe kila mtu apite hivi....

Jamaa kaamua kuacha na kesi kamuachia nyumba iwe ya kwake yeye karudi zake kijijini anaishi na mama yake.....

Kweli moyo wa mtu ni kiza kinene kwa jinsi nilivyokuwa namuona shemeji sikutegemea kama angefanya ukatili ule
Yawezekana aliona nakuambiwa kuwa jamaa hawezi kurudi kama zamani.
Mleta mada kama ni mgonjwa,asubiri kwanza,kama ataugua muda mrefu sana,mke ataonyesha rangi halisi hasa kama mali zikiisha mke akaanza kutafuta ridhiki.
 
Mwanaume anayefanyiwa ubaya na mwanamke ajitafakari sana.
Wanaume wakiwa na afya njema wana manyanyaso, ukatili, udhalilishaji na dharau +umalaya.

Kabla hujamuhukumu huyu mama, jaribu kujua maisha ya rafiki yako kabla ya kuumwa.
sisi wanawake tuna vinyongo sana na sayansi tunaijua mwanaume kuanzia miaka 38 mpaka 45 lazima awe na katatizo kake ka ugonjwa kake na sisi hapo hapo kama ulileta kero tunapiga kwenye mshono visasi vyetu havinaga haraka.
HAKIKA Uzi ufungwe. Huyo jamaa kalipwa stahiki yake, jamaa kalipwa, jamaa alishamtenda mwanamke kabla
 
Nimesoma comments, Wanaume baadhi mna wivu na tabia mbaya sana.

Heal!
Baada ya vipimo thabiti vya daktari bingwa (Psychiatrist) ilionekana wivu wangu uko stage IV siwezi kuoa!!
Tatizo kubwa si mke wangu kuacha goli wazi bali ni ..kwanini nijue?!
Mbaya zaid sijulishwi style zilizotumiwa!
 
kwa mijibu wa maelezo yako kumbe na mimi nina IQ bwana 😂😂😂😂

Kwenye hili nakubaliana na wewe. Within 2 years baada ya kuacha kila kitu, nilipo leo sipo pale tena. Na hapa huwa nawaza kama nisingekuwa nawasomesha watoto ningekua mbali zaidi
Mkuu Hongera sana siyo jambo rahisi lakini ni muhimu kusonga mbele bila kuharibu ulichopanda/jenga nyuma
 
Back
Top Bottom