Kwa kweli mke ana faida kubwa katika maisha

Kwa kweli mke ana faida kubwa katika maisha

Mimi rafiki yangu mke alimkimbia baada ya kupata stroke...na akapeleka kesi mahakamani nyumba iuzwe kila mtu apite hivi....

Jamaa kaamua kuacha na kesi kamuachia nyumba iwe ya kwake yeye karudi zake kijijini anaishi na mama yake.....

Kweli moyo wa mtu ni kiza kinene kwa jinsi nilivyokuwa namuona shemeji sikutegemea kama angefanya ukatili ule
Hapo jamaa angetumia gunia kadha za mkaa watu wangemshanga.
Kuna viumbe vinajua kuudhi na kukera.
 
Usikute yeye ndio kakulisha steel wire. Anazimendea mali zako.
Ahahahahahahahah.
Umewaza nje ya box.
Hii ni tabia ya wanasiasa ulimwenguni.
Ukitaka kuonekana hero na ku gain trust ya mtu, mtengenezee tatizo kisha litatue na uonyeshe kuwa pamoja nae wakat wooote wa mahangaiko, atakuamini sana asijue ni wewe ndio chanzo hasa.

Siku ukitaka kummaliza kabisa wala hupati shida, atajisalimisha mwenyewe umuue akijua wewe ndio mkombozi 😂
 
Kwa nyakati tulizo nazo ni akheri kwako kutokuoa...maana kwenye kuoa kuna shari nyingi sana
Kaka wengine dini zetu zinatufunga mfano uislamu mtume amesema ole wetu mwenye kufanya zinaa, Yani ni adhabu Tano duniani adhabu zingine akhera kujifanya kichwa ngumu MADHARA yake ni makubwa ni kheri unaoa tu mambo mengine mbele kwa mbele
 
Kuwa na mke mwema ni bora kuliko kuwa mwenyewe...Ila kama kuna kosa kubwa mwanaume anaweza kufanya ni kukosea kuoa. Ukioa mwanamke asiejielewa ni umeharibu maisha yako.

Oa at your own risk.Mtu asikushauri kuoa, acha tupate tu usia wa kuoa katika vitabu pekee walau tunakuwa hatuna wa kumlaumu, vinginevyo utalaani wazazi ndugu na jamaa hata waliokuchangia kufanikisha ndoa.
 
Back
Top Bottom