Aah nakaziaMtunze Kwa wivu mkubwa sana. Usimnyanyase. Wanawake wa kufanya nao ngono ni wengi sana ila kupata mke wa kufit kwenye ndoa ni kipengele
10 yrs nowMnaumri gani kwenye ndoa?
Kuna jamaa alikuwa Town anafanya kazi , kajenga kwao nyumba .Mimi rafiki yangu mke alimkimbia baada ya kupata stroke...na akapeleka kesi mahakamani nyumba iuzwe kila mtu apite hivi....
Jamaa kaamua kuacha na kesi kamuachia nyumba iwe ya kwake yeye karudi zake kijijini anaishi na mama yake.....
Kweli moyo wa mtu ni kiza kinene kwa jinsi nilivyokuwa namuona shemeji sikutegemea kama angefanya ukatili ule
Mguu wa kinyakyusa Au kisukuma
MwanzaMkeo ni Mtu wa wapi?
Wanaume tunaridhika na vitu vidogo sana toka Kwa mwanamke. Hapo mwana ameshajisahau tayari😀Satan ni satan tu, ishi nae kwa hakili kila sekunde, hawatabilikagi hao viumbe.
Kwan angekuudumia miaka miwili upo kitandan hapo tungempa maua yake.
Just imagine three weeks kwel, unataka kumpa na hati zote.
Ila hongera kwa kulishwa kuja upone umeshakuwa kibonge.
Pmj mkuuAah nakazia
Kulishana sio hadi kuumwa . Ata ukiwa njema anatakiwa akulishe (mahaba)Kama sio mke wangu sijui ningekuwa wapi saivi.nimeumwa balaa karibu wiki tatu.hata kujilisha sikuweza mke wangu ndiyo alikuwa ananilisha.kwa kwel mke ana faida kubwa maishani.
Ndugu yangu....Humeshindwa kuwapatanisha utaisikia mbingu tu🤣🤣
Wanawake hawa ni mithani sanaMkuu hakuna kiumbe mbinafsi kama mwanamke, mwanaume unakomaa kuinyanyua familia yako(mke na watoto) mke yeye anacho kipata anapeleka kwao.
Hivi mwanaume hana kwao?. Kwao hawahitaji msaada wake?. Kuna mwana juzi kakimbiwa na mkewe anaona mke harudi nyumbani kumbe kishakimbia nchi😂🤣
Ni msiba mzito sana kwake....Pole sana Kwa jamaa
Daahh mzee, maisha haya ni fumbo sana kwakweli. Mimi niwe mkweli kwasasa sitaki kusikia hizi habari kabisaaa yaniMimi rafiki yangu mke alimkimbia baada ya kupata stroke...na akapeleka kesi mahakamani nyumba iuzwe kila mtu apite hivi....
Jamaa kaamua kuacha na kesi kamuachia nyumba iwe ya kwake yeye karudi zake kijijini anaishi na mama yake.....
Kweli moyo wa mtu ni kiza kinene kwa jinsi nilivyokuwa namuona shemeji sikutegemea kama angefanya ukatili ule
Wanasikitisha sababu ya yaliyowakuta toka kwa wanawakeNikisoma comment hapa
Wanaume mnasikitisha sana 😢