KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,118
- 40,850
Nadhani ni kwenye 40+ hiviAna umri gani mshkaji? Na je wana watoto??
Yes.... walibahatika kupata watoto wawili!!
Nadhani ni kwenye 40+ hiviAna umri gani mshkaji? Na je wana watoto??
Dahhh.....sad.Nadhani ni kwenye 40+ hivi
Yes.... walibahatika kupata watoto wawili!!
Na ukizingatia na kinachoendelea si ajabu hata sio wakeWalibahatika kupata watoto wawili lakini si unajua mambo ya ndoa za siku hizi bila DNA ni vigumu kujihakilishia uhalali wa damu yako
Kabisaa mzeeeNa ukizingatia na kinachoendelea si ajabu hata sio wake
Mwanaume anayefanyiwa ubaya na mwanamke ajitafakari sana.Nadhani ni kwenye 40+ hivi
Yes.... walibahatika kupata watoto wawili!!
Wacha amsifie rafiki. Mana si kila mwanamke anaweza ujue.Kwasababu ulilishwa tu mkuu ukaona yes🤣🤣🤣,naunga mkono hoja wake zetu ni mali na faraja kwetu sisi wanaume
Hongera sana.10 yrs now
Pole sana bro, huyo shemeji Yako kanikumbisha yule muigizajo wa the mummy movie la zamani sana kumbe mwana alipataga stroke kwenye kuigoza wote walimkumbia, baadae mkewe akawasilisha mahakamani alipwe bilioni kadha na mali achukie jamaa akaanza kulia mahakamani akidai Hali yake mbaya haijiwezi wasiuze mali zake ili achukie mkewe, Sheria za marekani na wanawake hawakumsikiliza piga mnada jamaa ana lia tu, maisha haya bhasiii tuMimi rafiki yangu mke alimkimbia baada ya kupata stroke...na akapeleka kesi mahakamani nyumba iuzwe kila mtu apite hivi....
Jamaa kaamua kuacha na kesi kamuachia nyumba iwe ya kwake yeye karudi zake kijijini anaishi na mama yake.....
Kweli moyo wa mtu ni kiza kinene kwa jinsi nilivyokuwa namuona shemeji sikutegemea kama angefanya ukatili ule
Si ange mpa sumu mkuu? Acha mke apewe sifa zakeAlikuwa anakuuguza mkuu ili ufie mikononi mwakee iwe rahis kwa yeye kumiliki vyote ili ndugu zako wakileta pua hapo kutaka chcht awaambie mlikuwa wapi akiwa anaumwa ...
Wanawake wa sasa akili mingi sanaa..
Kulishwa tuu unaanzisha Uzi,akikupa Makebo jeWalioa mpo kwenye mstari sahihi
Kweli mkuu una PATA kahaba changudoa, msimbe unadhani utachomoka?Mke ana faida kubwa sana tu, changamoto ni pale unapopata jitu la hovyo
Umeandika kirahisi tu! Yani ampe sumu afe halafu nini kitafuata?Si ange mpa sumu mkuu? Acha mke apewe sifa zake
Wana kibao hiyo hatua hua wanatumbukia kwenye ulevi, mpaka mautiKuna jamaa alikuwa Town anafanya kazi , kajenga kwao nyumba .
Mara akapata short kazini, akasimamishwa kazi na kesi juu
Mke akamshawishi wauze nyumba , jamaa akaja mkoani akauza nyumba.
karudi town kwa mkewe.
PEsa zilivyokaribia kuisha mke akamkimbia.
Maisha yakawa magumu town, akarudi kijijini.
Stress zikamkamata, hata kijijini akaanza kudharaulika, stress zikazidii.
Mara byebye.
Kuoa omba upate mke , ukikosea umekwisha.
Jikalie mbali mwaya usije onekana mbaya bureNdugu yangu....
Wewe mwenyewe unawaelewa wanawake wakiamua la kwao.....
Pole mkuu, vipi ulipigwa tukio mana nimekua nikiona kama vile mambo yalikuendea mlama kwenye mahusiano mkuuDaahh mzee, maisha haya ni fumbo sana kwakweli. Mimi niwe mkweli kwasasa sitaki kusikia hizi habari kabisaaa yani
Tena wanasikitisha hasaa. Yaani mtu anavyomuongelea vibaya mwanamke hadi unamshangaa hivi yupo sawa kweli huyu.Nikisoma comment hapa
Wanaume mnasikitisha sana 😢