Kwa kweli mke ana faida kubwa katika maisha

Kwa kweli mke ana faida kubwa katika maisha

Alikuwa anakuuguza mkuu ili ufie mikononi mwakee iwe rahis kwa yeye kumiliki vyote ili ndugu zako wakileta pua hapo kutaka chcht awaambie mlikuwa wapi akiwa anaumwa ...

Wanawake wa sasa akili mingi sanaa..
Ahahahahah.
Kuna ka ukweli hapa.
Viumbe hawa mhhhh wanapiga hesabu za mbelee sana ,usiwaamini sana kiukweli. Kaa nao ki master.
 
Yani mtu umepambana mpk ukajipata,umenza maisha yako alafu unamtafuta mtu aje akusumbue alafu akuletee ndugu zake(watoto) muwe wengi kwenye nyumba waanze kukusumbua..ukose raha kwenye geto lako.
Huu ujinga sirudii kuufanya
Usije ukaomba ukutana na mtanange ambapo wife ana collabo na watoto wake kukunyoosha ,weeeeh utakufa usipoondoka hapo mahala
 
Nae kaajiriwa mkuu sema mahusiano yetu tulianzia tokea tupo chuo,chuo nilimsaidia sana asifeli nilishajua atakua mke so tumekua zaidi ya mke,ukipata mke sahihi muda wote un la furaha hata huwazi kumsaliti
Endelea kuomba Mungu mkuu mzeeke hivyo, maana table turns, nightmares zikianza hata haya unayomsifia mayo hapa ndio itageula sababu ya maumivu makali.

siombei mfike huko
 
Ngoja kwanza,nipo kwenye mazungumzo na Mbaga Jr.
 

Attachments

  • 369B3583-909F-4736-96DE-29E155D8B540.jpeg
    369B3583-909F-4736-96DE-29E155D8B540.jpeg
    169.4 KB · Views: 4
Kama sio mke wangu sijui ningekuwa wapi saivi.nimeumwa balaa karibu wiki tatu.hata kujilisha sikuweza mke wangu ndiyo alikuwa ananilisha.kwa kwel mke ana faida kubwa maishani.
Ndio usiwe unambania kutoka kuja kwangu maana siku zingine huwa unakaza sana hata sms kujibiwa inakuwaga ngumu!
 
Wanawake hayajawahi kuwakuta?
Kuna namna nilikua nawachukilia wanaume japo sio wote
Toka huko mama siku zimeenda sana, wanaume siku hizi walishakacha huo utamaduni wa kuchukuliwa kinamna flan na wanawake then wakae kuvumilia mambo ambayo kimsingi yanawaumiza. Hao walikua wazee wetu ambao walikua wanakaa na maumivu moyoni siku hizi wanaume hawataki tena uhuni huo
Ila kadri muda unavyoenda 😅🙌🏼
Yaani mnalalama mnoo
Yaan ni kama mmekata tamaa 😢
KUlalama ni moja wapo ya shamming language ambazo wanawake wamekuwa wakiitumia for so long time ili kuwa controll wanaume na kuwafanya wa conform to their systems of holding them. Now hizi language do not work anymore. So wanaume kwasasa kuwa expressive wala haiwez kuwafanya waache eti kisa tu wataonekana wanalalamika.

And the last thing is, wanaume kiukweli tumeshakatishwa tamaa mnooooo na wanawake. Sanaaa wala sio kidogo amd now nao wameamua ku choose their own peace over chaos amd drmatic life caused by women.

Kwahiyo nyie endeleeni tu kuwachikulia mnavyoona, ila we dont play the unbalanced game anymore
 
Mimi rafiki yangu mke alimkimbia baada ya kupata stroke...na akapeleka kesi mahakamani nyumba iuzwe kila mtu apite hivi....

Jamaa kaamua kuacha na kesi kamuachia nyumba iwe ya kwake yeye karudi zake kijijini anaishi na mama yake.....

Kweli moyo wa mtu ni kiza kinene kwa jinsi nilivyokuwa namuona shemeji sikutegemea kama angefanya ukatili ule
Aisee huyo mwanamke katili sana. Wana watoto?
 
Back
Top Bottom