Kwa kweli mke ana faida kubwa katika maisha

Kwa kweli mke ana faida kubwa katika maisha

Kuna Wanaume wamejaa uchungu na negative thoughts tu, Vile unavyofikiri na kujiona ndivyo utakavyopokea na kuwa.
Ukijinenea mabaya utayapata.

Tunayo furaha sana kuona wanaume walio wengi wanafurahia wake zao,.
Na hilo ndilo kusudi la Mungu.
Kuna post ticktock ilikuwa imeandika hivi “ukikutana na Mungu saa hii utamwambia nini”? Nikafungua comments section, Comment ya kwanza mwanaume alikuwa ameandika hivi: Nitamwambia ampe maisha marefu mke wangu”

My heart melted 🥰
 
Toka huko mama siku zimeenda sana, wanaume siku hizi walishakacha huo utamaduni wa kuchukuliwa kinamna flan na wanawake then wakae kuvumilia mambo ambayo kimsingi yanawaumiza. Hao walikua wazee wetu ambao walikua wanakaa na maumivu moyoni siku hizi wanaume hawataki tena uhuni huo

KUlalama ni moja wapo ya shamming language ambazo wanawake wamekuwa wakiitumia for so long time ili kuwa controll wanaume na kuwafanya wa conform to their systems of holding them. Now hizi language do not work anymore. So wanaume kwasasa kuwa expressive wala haiwez kuwafanya waache eti kisa tu wataonekana wanalalamika.

And the last thing is, wanaume kiukweli tumeshakatishwa tamaa mnooooo na wanawake. Sanaaa wala sio kidogo amd now nao wameamua ku choose their own peace over chaos amd drmatic life caused by women.

Kwahiyo nyie endeleeni tu kuwachikulia mnavyoona, ila we dont play the unbalanced game anymore
Kama wanawake hamuwawezi achaneni nao
Fanyani michongo mingine

Bana mmzidi kulalama jushikilieni
Kulalama nyie
Kuua nyie

Inasikitisha sana mnalialia mnoo😢
 
Mithali 14:1
[1] Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.

Mimi mpaka leo sijajua kwanini mwanaume hakuzungumziwa kama chanzo cha migogoro kwenye ndoa. Ni kusema kwamba hakuna wanaume wapumbavu? Kwanini zigo lote amerushiwa mwanamke?
 
Back
Top Bottom