Kwa kweli mke ana faida kubwa katika maisha

Kwa kweli mke ana faida kubwa katika maisha

Mkuu, wala usisikilize watu, watu wengi sana wa Natamani kuwa kwenye position yako.

SSema ndo hivyo, wana bad luck katika maisha.

MMimi nishaona kuwa kwa jamii hii ya leo, inabidi hata nisi force kupata mtu najua if it is destined nitampata, ila kama sio fungu langu ni kheri pia
 
Wewe kama alibakia kukulisha shukuru Mungu... wenzako wanakimbiwa tena wakiwa taabani....haya mambo ni kumtanguliza tu Mungu mbele
Hakuna anaechoka wiki mbili tatu

Ugonjwa wa kuwakimbiza watu wa karibu ni ule ambao unamforce mtu aache kila kitu chake au akuuguze kwa miezi au miaka.

Hizo wiki tatu bado sana hata mchepuko unaweza kuigiza 🙏🏽
 
Sure
Angekaa chini mwaka hivi kila kitu kina fanyika hapo kitandani ndio angeleta hii thesis yake ya mchongo hapa 😃
 
Kama sio mke wangu sijui ningekuwa wapi saivi.nimeumwa balaa karibu wiki tatu.hata kujilisha sikuweza mke wangu ndiyo alikuwa ananilisha.kwa kwel mke ana faida kubwa maishani.
Kwenye kuumwa uko sahihi.
Hata mimi senior bachelor at 47 nawaza sana eneo hilo.
Si rahisi kumpata mtu wa kuosha matako yaliyopauka kama pembe la faru joni.
Jaman Tz mlete bima ya kutunza wazee kama Ulaya!
 
Back
Top Bottom