Kwa kweli mke ana faida kubwa katika maisha

Pole sana Kwa jamaa
 
Humeshindwa kuwapatanisha utaisikia mbingu tu🤣🤣
 
Kama sio mke wangu sijui ningekuwa wapi saiv.nimeumua balaa karibu wiki tatu.hata kujilisha sikuweza mke wangu ndiyo alikuwa ananilisha.kwa kwel mke ana faida kubwa maishani.
Wangu ananiogesha ,ananifulia,ananilisha kwa madeko watoleeni sadaka kwa Mungu wake zenu maana sio rahisi kupata mwanamke alienyoka wengi mambo ya usawa inawaharibu
 
Mkuu hakuna kiumbe mbinafsi kama mwanamke, mwanaume unakomaa kuinyanyua familia yako(mke na watoto) mke yeye anacho kipata anapeleka kwao.

Hivi mwanaume hana kwao?. Kwao hawahitaji msaada wake?. Kuna mwana juzi kakimbiwa na mkewe anaona mke harudi nyumbani kumbe kishakimbia nchi😂🤣
 
Nae kaajiriwa mkuu sema mahusiano yetu tulianzia tokea tupo chuo,chuo nilimsaidia sana asifeli nilishajua atakua mke so tumekua zaidi ya mke,ukipata mke sahihi muda wote un la furaha hata huwazi kumsaliti
Mtunze Kwa wivu mkubwa sana. Usimnyanyase. Wanawake wa kufanya nao ngono ni wengi sana ila kupata mke wa kufit kwenye ndoa ni kipengele
 
Satan ni satan tu, ishi nae kwa hakili kila sekunde, hawatabilikagi hao viumbe.

Kwan angekuudumia miaka miwili upo kitandan hapo tungempa maua yake.
Just imagine three weeks kwel, unataka kumpa na hati zote.

Ila hongera kwa kulishwa kuja upone umeshakuwa kibonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…