Kwa Lomalisa na Bigirimana Pesa ya Tajiri imepotea, na nilichokiona kwa Aziz Ki ni 'Domo Kubwa Kuvimba' lake tu na Kukosea Kwingi

We kolo, watu wamekufukulia kaburi lako..!! Unajisikiaje huko uliko?
 
[emoji3062]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa Aziz Ki, hata hanistuii, alipokuja mwanzon alikua hivyo hivyo, akapoteana.

Sahiv mwanzoni ameanza kuwika, mnajifanya kujichetua, ngoja ayabanange muanze kumsaula.

Uzuri tunawajua. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
.
 
Aziz kamaliza na goli 21 na kakufunga sana πŸ˜‚πŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…