Kwa Lomalisa na Bigirimana Pesa ya Tajiri imepotea, na nilichokiona kwa Aziz Ki ni 'Domo Kubwa Kuvimba' lake tu na Kukosea Kwingi

Siku hazigandi!
 
Ningeshangaa sana, popoma uwe hujawahi kukurupuka. Nilikuwa nikiona ujinga wa kina OKW BOBAN SUNZU kuhusu Aziz Ki na kwa upeo naona wako vizuri kuliko popoma, nafsi ilikuwa hainipi kabisa kwamba popoma nae hana uzi wa kishamba kuhusu Aziz. Leo kaburi limefukuliwa moyo umetulia. Popoma acha kukurupuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…