Pre GE2025 Kwa lugha ya picha CHADEMA imekata tamaa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

mapessa

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
664
Reaction score
1,168
Ukweli ambao utawaumiza wazee wa matusi pale ufipa ni juu ya picha za mikutano ya Mwenyekiti wa Chadema ndugu Freeman Mbowe katika ziara ya mikoa ya Kanda ya Kaskazini kuanzia Manyara, Kilimanjaro, Arusha na Tanga.

Picha zimeonyesha hali mbaya sana kwa chama hicho nimekuletea baadhi ya Picha uone jinsi Ufipa wanavyohangaika kwenye mikutano ni fedhea tupu.

 
Takwimu halisi kwa sasa ya nani anakubalika utaipata mitandaoni tu huko mitaani watu wamekuwa bize sana kitu kingine mikutano ya ccm mingi sio halisi wao wenyewe wanajua jinsi pesa nyingi walivyoitumia kukusanya hilo nyomi we haujilizi kwanini wanajaza nyomi lakini bado wanakuwa na hofu ya upinzani
 
haina matumaini wala uhakika wa kesho yake, dahπŸ’
 
Tupicha twako mchongo umetutoa wapi?
 
Hahaha. Mbona hukuleta zile za Chato, Geita, Mwanza, Singinda, Loliondo, Arusha, Moshi, Tanga, Dar es Salaam, Mbeya, nk?
 
Fanya kazi wewe
 
Hii kitu sijawahi elewa, M/Mwenyekiti Lissu alikuwa na ziara maeneo ya sSingida, Iringa na kwingineko, tena akifanya mwenyewe, ghafla picha na ratiba za mikutano ya Mwenyekiti Mbowe zikaanza kusambaa.

Mikutano ya Lissu ikafa, iko ya Mbowe tu, na Lissu haonekani public, kuna nini ndani ya CDM.
 
Huko ni full shangwe we unaonaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…