Mkuu 'imhotep', unanichanganya sana, sijui nikuweke wapi!Pamoja na Fitna za Msigwa CHADEMA kiko ngangari✌️
Ila siku Lissu akiondoka namimi namfuata.👈sitanii
Lakini naomba usijali sana, haya ni maoni yangu tu, yasikusumbue akili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu 'imhotep', unanichanganya sana, sijui nikuweke wapi!Pamoja na Fitna za Msigwa CHADEMA kiko ngangari✌️
Ila siku Lissu akiondoka namimi namfuata.👈sitanii
Mimi ni Free Soul, hupenda kuongea my Mind. Ila sio Loose Canon kama Mdude😀Mkuu 'imhotep', unanichanganya sana, sijui nikuweke wapi!
Lakini naomba usijali sana, haya ni maoni yangu tu, yasikusumbue akili.
Mstari mmoja mfupi tu, wenye maneno machache tu, lakini umebeba ujumbe mzito sana! Sijui kama huyo uliyemjibu atauelewa mstari huu.Imajen Nchi ambayo ni Chuo cha Shida Duniani ila kuna Mtu tatizo lake ni Chadema.
Kuna 'MKANGANYIKO' usio kuwa wa lazima, ambao Sekretariati ya CHADEMA imeruhusu uwepo na kuvuruga matarajio ya wananchi juu ya chama hiki.Hii kitu sijawahi elewa, M/Mwenyekiti Lissu alikuwa na ziara maeneo ya sSingida, Iringa na kwingineko, tena akifanya mwenyewe, ghafla picha na ratiba za mikutano ya Mwenyekiti Mbowe zikaanza kusambaa.
Mikutano ya Lissu ikafa, iko ya Mbowe tu, na Lissu haonekani public, kuna nini ndani ya CDM.
Acha usengerema wewe!Ukweli ambao utawaumiza wazee wa matusi pale ufipa ni juu ya picha za mikutano ya Mwenyekiti wa Chadema ndugu Freeman Mbowe katika ziara ya mikoa ya Kanda ya Kaskazini kuanzia Manyara, Kilimanjaro, Arusha na Tanga.
Picha zimeonyesha hali mbaya sana kwa chama hicho nimekuletea baadhi ya Picha uone jinsi Ufipa wanavyohangaika kwenye mikutano ni fedhea tupu.
View attachment 3043754View attachment 3043755View attachment 3043756View attachment 3043757View attachment 3043758
EEEeeeenHeeeeEEE!Mimi ni Free Soul, hupenda kuongea my Mind. Ila sio Loose Canon kama Mdude😀
CCM mbeleeeee kwa mbeleeee. Upinzani bado sana
Huku afadhali kidogo kuna checks and balances ndio maana wana dumu.Ninakubaliana nawe katika hili.
Sasa nakuomba uligeuzie huko CCM upate picha itakuwaje pakiondolewa gundi inayo lishikilia genge ndani ya chama hicho.
Chadema ya sasa ni kama kikundi cha wacheza kamari tu.....muda wowote wanasambaratika
Mbowe chama kinaenda kufia mkononi ana wapambe wachache wanamdanganya angempa wenje ChamaChadema ya sasa ni kama kikundi cha wacheza kamari tu.....muda wowote wanasambaratika na kusambatarishana
"Checks and Balances" ni kutishiwa mchuzi kuwekwa mchanga kwa atakayenyoosha kidole.Huku afadhali kidogo kuna checks and balances ndio maana wana dumu.
Elements za taasisi bado zipo kwa mbaaali."Checks and Balances" ni kutishiwa mchuzi kuwekwa mchanga kwa atakayenyoosha kidole.
Hapo ndipo CCM ilipofikia sasa hivi.
Hapana.Elements za taasisi bado zipo kwa mbaaali.
Tujadili kauli ya NAPE goli la mkono kwa Byabato Kagera. Wizi ndio unaokivusha ccm na siyo udhaifu wa chadema wakarlti mwingineHii kitu sijawahi elewa, M/Mwenyekiti Lissu alikuwa na ziara maeneo ya sSingida, Iringa na kwingineko, tena akifanya mwenyewe, ghafla picha na ratiba za mikutano ya Mwenyekiti Mbowe zikaanza kusambaa.
Mikutano ya Lissu ikafa, iko ya Mbowe tu, na Lissu haonekani public, kuna nini ndani ya CDM.
😂😂😂😂 “I wanda”!Imajen Nchi ambayo ni Chuo cha Shida Duniani ila kuna Mtu tatizo lake ni Chadema.
Umeona vyema Mkuu, CDM imekwama mahali ikitaka kujitutumua kuna namna ari inazimwa.Kuna 'MKANGANYIKO' usio kuwa wa lazima, ambao Sekretariati ya CHADEMA imeruhusu uwepo na kuvuruga matarajio ya wananchi juu ya chama hiki.
Sitaki kumlaumu Mnyika, kwa sababu natambua uwezo wake mkubwa. Bila shaka haya ni maswala asiyo kuwa na uwezo juu yake.
Inasikitisha kuwa haya yanatokea wakati muda huu ni hatarishi sana juu ya programu ya chama hicho.
Tatizo lilianza kuthibitika kuwepo wakati huo ulio uelezea vizuri kabisa. Lakini mimi nakurudisha nyuma kidogo kuongezea uzito wa haya yote.Umeona vyema Mkuu, CDM imekwama mahali ikitaka kujitutumua kuna namna ari inazimwa.
Rejea kabla na baada ya kesi ya Mbowe kuisha watu walihamasika sana hasa kwenye ishu ya Katiba Mpya, ila siku Mbowe anatoka jela, jioni yuko Ikulu na hamasa yote ikafa.
Mpaka leo ni historia, na chama kimebaki kuchechemea mpaka leo. Inasikitisha.
Kwa taarifa yako hao watu unawaona hapo kwenye mikutano ya cdm ndio uhalisia wa siasa zetu ulipofikia baada ya dhalimu magu kuharibu siasa za ushindani hapa nchini. Usidanganywe na nyomi za ccm, maana zile hazina uhalisia bali ni za kulazimisha, ili kuhadaa umma kuwa wanakubalika.Ukweli ambao utawaumiza wazee wa matusi pale ufipa ni juu ya picha za mikutano ya Mwenyekiti wa Chadema ndugu Freeman Mbowe katika ziara ya mikoa ya Kanda ya Kaskazini kuanzia Manyara, Kilimanjaro, Arusha na Tanga.
Picha zimeonyesha hali mbaya sana kwa chama hicho nimekuletea baadhi ya Picha uone jinsi Ufipa wanavyohangaika kwenye mikutano ni fedhea tupu.
View attachment 3043754View attachment 3043755View attachment 3043756View attachment 3043757View attachment 3043758
Mama na yake ccm wako juu misafara wa magari 150, tutalipa Kodi tu ili wafanye matanuziUkweli ambao utawaumiza wazee wa matusi pale ufipa ni juu ya picha za mikutano ya Mwenyekiti wa Chadema ndugu Freeman Mbowe katika ziara ya mikoa ya Kanda ya Kaskazini kuanzia Manyara, Kilimanjaro, Arusha na Tanga.
Picha zimeonyesha hali mbaya sana kwa chama hicho nimekuletea baadhi ya Picha uone jinsi Ufipa wanavyohangaika kwenye mikutano ni fedhea tupu.
View attachment 3043754View attachment 3043755View attachment 3043756View attachment 3043757View attachment 3043758