Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe hajazinduka, anachofanya sasa ni kutaka kuonyesha yuko hai kwa nafasi yake, lakini hakuna jipya. Pamoja na hekima zake bado hajajua mda wa kutoka mchezoni, itakuwa vibaya sana kama chama kitaanguka kwasababu yake.Sasa Mbowe ni kama anayezinduka usingizini
Nilimheshimu Mbowe jinsi alivyomudu kukisalimisha chama wakati mugumu sana; pamoja na kwamba sikubaliani na msimamo wake kisiasa.Mbowe hajazinduka, anachofanya sasa ni kutaka kuonyesha yuko hai kwa nafasi yake, lakini hakuna jipya. Pamoja na hekima zake bado hajajua mda wa kutoka mchezoni, itakuwa vibaya sana kama chama kitaanguka kwasababu yake.