Pre GE2025 Kwa lugha ya picha CHADEMA imekata tamaa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kina Kimario wanawaza mbege tu hapo.

Ila usidanyike na picha za kuchagua angle, CHADEMA bado ina ushawishi mkubwa mno.
 
mtabadili magoli sana tu

Hadi watoto?
 
Kwa sasa watz hawana muda na siasa, wote wanaonekana wahuni
 
kati ya hao hata 10 wakibadilika inatosha
 
Pitia jengo la TLP pale magomeni ndio utajua madhara ya kugeuza taasisi kuwa mali ya mtu binafsi.
Ninakubaliana nawe katika hili.
Sasa nakuomba uligeuzie huko CCM upate picha itakuwaje pakiondolewa gundi inayo lishikilia genge ndani ya chama hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…