Mbowe hajazinduka, anachofanya sasa ni kutaka kuonyesha yuko hai kwa nafasi yake, lakini hakuna jipya. Pamoja na hekima zake bado hajajua mda wa kutoka mchezoni, itakuwa vibaya sana kama chama kitaanguka kwasababu yake.

Nilimheshimu Mbowe jinsi alivyomudu kukisalimisha chama wakati mugumu sana; pamoja na kwamba sikubaliani na msimamo wake kisiasa.
Ninacho omba tu kwake sasa hivi, asimamie juhudi za kuiondoa CCM madarakani moja kwa moja, na siyo kupata tu wabunge wengi.
Jambo la muhimu ni kuiondoa CCM madarakani, basi.