DOKEZO Kwa Lugumi na Miss Rwanda 2016, Dola isiruhusu mahusiano ya Lugumi na Viongozi waandamizi nchini na asipewe kazi yoyote ndani ya Majeshi!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sawa lugumi naona unatutishia. Hata sisi tuna vyombo kali sana
 
Kama ni mnyarwanda, basi hii pisi siyo Kali...kwa wenye kujua totoz za kinywaranda zile classic aje anibishie hapa. Ila kwa mambo ya kijajusi ni muhimu kuliangazia Hilo kwa undani.
 
... vipodozi vimezidi!
 
Kama ni mnyarwanda, basi hii pisi siyo Kali...kwa wenye kujua totoz za kinywaranda zile pisi classic zilizonyooka aje anibishie hapa. Ila kwa mambo ya kijajusi ni muhimu kuliangazia Hilo kwa undani.
 
Mkuu POKEA USHINDI WA KISHINDO...
Siwezi kuendelea kubishana na wewe thus nimekupa ushindi. Ila in the near future utapata taarifa.
 
"Duuhh Jamaa anakojoa pazuri, huyu demu hata maji yake alofulia Chupi au aloogea unaweza kuyanywa kama maji ya kunywa simply because she is so fine."


Madhara ya kuruka nyeto kwenye makuzi ndio haya.
Siku ya Gulioooo.....😃😃
 
Hivi wale wanawake waliokuwa implanted Dodoma kuwafurahisha wagonga meza waliishia wapi
Juzi kati ktk pitapita zangu nilikutana na wadada kutoka kwa pk hapo Dom.Siwezi kusema ni hao implanted ama laa maana sikuchunguza chochote juu yao
 
Kuna uhusiano gani kati ya usalama wa nchi na jamaa kwenda kuzagamua miss Rwanda?
Ina maana hii nchi usalama wake upo mikononi mwa Lugumi?
Mkuu mkuu kama ni kweli uhusiano upo tena mkubwa sana sana kuliko unavyofikiri, tuliza kichwa tafakari utapata majibu magumu sana kwa maswali rahisi
 
"Watanzania wana wivu wa kijinga sana"Hayati BWM.

Ni upumbavu taifa kama Tanzania kuogopa taifa la Rwanda.Watanzania huwa tunajiona special sana kwamba tunaonewa wivu na majirani kumbe ni inferior complex zetu,ambazo msingi wake ni upumbavu.
 
Atafanyaje wakati bongo kila anayegusa ni single mother, Bora acheki upande wa pili!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…