DOKEZO Kwa Lugumi na Miss Rwanda 2016, Dola isiruhusu mahusiano ya Lugumi na Viongozi waandamizi nchini na asipewe kazi yoyote ndani ya Majeshi!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Movies zinakudanganya mkuu..
 
Well said mkuu..
 
Oya mwanangu huyo dada yako kama hajaolewa naomba namba tuunge udugu asee. umesema ni mnyarwanda ee?
Sio dada yangu wa kuzaliwa yeye muhangaza, mimi mnyalukolo (rafiki wa dada zangu)

Nimetoa mfano tu, na hawezi kuokota watu mitandaoni ni mtoto wa
mjini kweli kweli Dar-Er-Salaam mapedeshee yote hapo mjini ya rika lake unamjua.

Unadhani wanawake sampuli ya chit-chat, huyo hata JF sidhani kama anaijua.

Ukitaka update za kitaa yeye ndio anazo, nani kakamatwa kwa kosa makosa yepi; hakuna kinachompita U.K. na Dar-Es-Salaam.
 
Lugumi anauza silaha za kijeshi kwa majeshi ya serikali na.....???
Ni mzabuni wa majeshi huyo kama sijakosea.

Nakumbuka pia kipindi cha Rais Magufuli ilikaribia kidogo tu amfilisi baada ya kugundua amechukua tenda ya kusambaza vifaa vya ugunduzi wa alama kwa watuhumiwa kwenye jeshi la polisi, halafu huyo mhuni akaingia mitini huku akiwa amelipwa fedha zote (bilions of Tshs) za kufanya installations kwenye vituo vyote muhimu!!

Na ndiyo kipindi hicho jina la Dr. Shika lilikuwa maarafu baada ya kutaka kulinunua moja ya ghorofa la huyo Lugumi kwa shilingi 900, huku madali wakifiri ni milioni 900 za Kitanzania.
 
J.F kama Dodoma. Kila mtu Usalama wa Taifa..
 
yaani ni balaa tupu na vp wahuni wakimtaiti na kifinyo juu si atatema siri zote huyu tutabaki weupe kabisa..tatizo la nchi hii ni wanasiasa kwao kila manunuzi ni dili wanataka wawepo ili kupata 10% na hayo madili huyu jamaa hali peke yake ni chain ndefu ya watu wengi.
 
Tatizo la JF kila mmoja ni TISS kasoro mimi tu..
 
Tatizo la JF kila mmoja ni TISS kasoro mimi tu..
Shida zaidi ni hii dhana ya mistrust on grounds of xenophobia and religious differences (halafu mods wanachekea kweli hizo mada).

Ni nadharia za kutoka kwa watu wasiojichanganya tu kwenye jamii; lakini watanzania hatupo ivyo.

Sote tunajua ‘bi-tozo’ anavyotaka kutengeneza mazingira ya kupita kirahisi 2025. Aliweka DGIS mzanzibari akizani atachezea kazi yake.

Kibaya zaidi alichagua mtu ambae ni proper system ya usalama hajui lolote nje ya usalama; yeye mwenyew ilibidi amteme hata miezi minne aikufika. Unacheza na walinzi waliopikwa.

Tuache hizi tabia za kushutumu majirani zetu au kutaka kutengeneza udini.
 
Yes upo sahihi sana mkuu. Mbona professor Sarungi ana ndugu yake mmoja aliwahi kuwa Waziri Kenya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…