DOKEZO Kwa Lugumi na Miss Rwanda 2016, Dola isiruhusu mahusiano ya Lugumi na Viongozi waandamizi nchini na asipewe kazi yoyote ndani ya Majeshi!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Yes upo sahihi sana mkuu. Mbona professor Sarungi ana ndugu yake mmoja aliwahi kuwa Waziri Kenya..
Obama baba mkenya
Harris (mama muhindi, baba mjamaica).
Collin Power (wazazi wajamica)
Rishi Sunak (wazazi wahindi wa EA)
Kemi (Wazazi wote wa-Nigeria). etc the list goes on.

Sasa unadhani usalama wa hizo nchi wamelala.
 
Tumeunda jumuiya ya Afrika Mashariki mtu yuko huru kuoa au kuolewa au kuwa na mahusiano popote na mtu wa nchi yeyote

Vinginevyo jumuiya ya Africa Mashariki itakuwa haina maana kabisa

Hata mtanzania akitaka kuolewa au kuoa ndugu au mtoto wa Kagame au kuolewa na kagame kama mke wake sioni shida
 
"Duuhh Jamaa anakojoa pazuri, huyu demu hata maji yake alofulia Chupi au aloogea unaweza kuyanywa kama maji ya kunywa simply because she is so fine."


Madhara ya kuruka nyeto kwenye makuzi ndio haya.
Mzee hio haina uhusiano
 
Hakuna mtu mwenye rangi ya hivyo,hizo ni filter,hao na nyuchi kama gati namba tano pale bandarini na maji mengi,visimi virefu kama dole la kati..acha kuikuza taasisi ya kikachero ya Rwanda,haina lolote la maana ilichofanya
 
Mkuu wivu kisa wanawake? Itakua hatuna mambo ya kufiria labdaπŸ€”
Wabongo badala ya kupigania payee ipunguzwe na Kikotoo kile kifutwe ili ule maisha mazuri wewe usalama usalama....pambania Usalama ukupe maisha mazuri hata kama mshahara wako ni laki tatu...

Bongo wee vaa suti nyeusi then nyoa kipara nenda kaunta baa kubwaa kunywa windihoku huku una tazama tazama kila kona....hapo kaunta utaona watu wanaanza kukimbia moja moja
 
Mhm labda bongo ya zamani mkuu 😁
 
Mtanzania aolewe hata na Kagame ila asiwe karibu na mifumo yetu ya ulinzi na usalama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…