Kivule
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 639
- 662
Tulia dawa iingie, inauma?Sokwe, Mbwa na Nyani FC ( Yanga SC ) watakuwaje tena ni Wenzetu Mkuu? Labda ni Wenzako Wewe kama Wewe, ila siyo Sisi Wana Simba Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia dawa iingie, inauma?Sokwe, Mbwa na Nyani FC ( Yanga SC ) watakuwaje tena ni Wenzetu Mkuu? Labda ni Wenzako Wewe kama Wewe, ila siyo Sisi Wana Simba Mkuu.
Iwe miaka miwili au miezi sita ni kuwa alisajiliwa nje ya dirisha la usajili. Sasa vigezo gani vilitumika!Kwani shauri lilioko mezani nila miaka 2 au miezi6?
ndicho kitakachotokea, TFF wakisema morison ana mkataba na yanga. yanga lazima waishtaki simba kwa kusajili mchezaj wenye mkataba nao, hapo ndio mo atakapoondoka rasmi
Usiseme yanga sema UMBWAHilo la kuchagua timu ya kuchezea KATU yanga hatulikubali.
Nikuweke sawa, hakusema anaachana na Simba, alisema anaacha na cheo alichonacho. Hayo ni mambo mawili tofauti.acha kujidanganya hakuna mkataba unaombana MO kuondoka simba, ndio maana alitoa taarifa ya kuachana na simba twitter na hakuna kiongozi wa simba aliesema amekiuka mkataba zaidi ya kwenda kumpigia magoti arudi..
Lazima wawe na ushahidi kuwa amesajili Simba, na hilo hawawezi kulithibitisha.ndicho kitakachotokea, TFF wakisema morison ana mkataba na yanga. yanga lazima waishtaki simba kwa kusajili mchezaj wenye mkataba nao, hapo ndio mo atakapoondoka rasmi
Sio kweli, leta ushahidiNO, alijiondoa kujihusisha na mambo yote ya timu ya wakubwa ikiwepo udhamini, akabaki na timu ya vijana. mpaka sasa ivi hajulikani kama ni mdhamini au shareholder, hapo ndio ujue simba inaendeshwa kihuni huni
Siku nyingine uache kubweka bweka watu tuna data