Kwa Maamuzi haya ya hatima ya Sakata la Mchezaji Bernard Morrison ambayo 'yanahisiwa' yanaendelea 'Kuamuliwa' Kesho nani 'ataathirika' zaidi?

Kwa Maamuzi haya ya hatima ya Sakata la Mchezaji Bernard Morrison ambayo 'yanahisiwa' yanaendelea 'Kuamuliwa' Kesho nani 'ataathirika' zaidi?

Kwani shauri lilioko mezani nila miaka 2 au miezi6?
Iwe miaka miwili au miezi sita ni kuwa alisajiliwa nje ya dirisha la usajili. Sasa vigezo gani vilitumika!
Simba kweli inamtaka au siasa za mpira wetu.
Alibaki yanga Kwa sababu za mazingira ya soka bongo itabidi yanga wam treat vizuri bili awasaidie maana ni mchezaji mzuri.
 
ndicho kitakachotokea, TFF wakisema morison ana mkataba na yanga. yanga lazima waishtaki simba kwa kusajili mchezaj wenye mkataba nao, hapo ndio mo atakapoondoka rasmi

Yani Eymail yupo usahihi kwa 100% kusema Washabiki wa Yanga ni Uneducated kazi kupiga kelele kama Manyani na kubweka kama Mambwa.
Yani munaweweseka na MO kujiondosha Simba tu? Ivi mpaka Muda huu bado hujajua kuwa Yanga na TFF ndiyo wenye Makosa kwenye Sakata la Morison?
 
acha kujidanganya hakuna mkataba unaombana MO kuondoka simba, ndio maana alitoa taarifa ya kuachana na simba twitter na hakuna kiongozi wa simba aliesema amekiuka mkataba zaidi ya kwenda kumpigia magoti arudi..
Nikuweke sawa, hakusema anaachana na Simba, alisema anaacha na cheo alichonacho. Hayo ni mambo mawili tofauti.
 
ndicho kitakachotokea, TFF wakisema morison ana mkataba na yanga. yanga lazima waishtaki simba kwa kusajili mchezaj wenye mkataba nao, hapo ndio mo atakapoondoka rasmi
Lazima wawe na ushahidi kuwa amesajili Simba, na hilo hawawezi kulithibitisha.
 
NO, alijiondoa kujihusisha na mambo yote ya timu ya wakubwa ikiwepo udhamini, akabaki na timu ya vijana. mpaka sasa ivi hajulikani kama ni mdhamini au shareholder, hapo ndio ujue simba inaendeshwa kihuni huni
Sio kweli, leta ushahidi
 
We ndo Bank teller?

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku nyingine uache kubweka bweka watu tuna data
Screenshot_2020-08-12-19-43-55.jpg


Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
View attachment 1535344View attachment 1535345
 
Back
Top Bottom