Wachu macheke
Member
- Oct 8, 2024
- 68
- 120
Naunga hojaMagufuli alikuwa kichaa alikataa chanjo za Covid -19 kwa ujinga wake huku akisahau kuna watu walizihitaji chanjo hizo , naye Covid -19 ikamfyekelea mbali .
Huwezi kumlinganisha Trump na kichaa kama yule.