Tuanzie hapa ili tumjue mwenye akili ndogo , katika watanzania 60 M walisema hawataki chanjo?Una akili ndogo sana. Ok.
1. Kujitegemea na covi 19 zinahusiana vipi ? Hata hivyo badala ya kuchanja alisema peta hivyo hivyo immunity yako inatosha
Hiyo joint statement nani alitumwa awasemee, je hujiulizi baada ya Magufuli kufa chanjo zikaingia waliochanjwa kwani walikodiwa kutoka Malawi ?
Thibitisha Covid-19 ulikuwa mradi.2. Unadhani Covi 19 haukuwa mradi? Mbona dunia sasa haihangaiki na ujinga huo?
Weka hapa rejea 5 katika vyanzo vinavyoaminika ikiwemo shirika la afya duniani.
Mimi nimesema wapi ninatumia ARV halafu wewe nani alikwambia ARV ni chakula hadi mtu ale?3. Sasa ARV utakosa tuone utakula vocha gani
Rudia kusoma ulichoandika huko juu na hapa namba 4 uone kama utaelewa ulichoandika.4. Afrika jipange kujitegemea acha kuomba omba utaolewa.
Hizi lugha sio jukwaa lake , peleka mahali pake sio hapa.Kama umechafukwa njoo na povu