Mwanzo ulisema watanzania hawakutaka chanjo, nimeleta rejea unasema watu milion 63 kwanini hawakuchanja!Kwa nini Watanzania wote million 63 hawakuchanjwa?
Unajua katika hiyo milion 63 ni kundi gani lilihataji chanjo na wako kiasi gani ?
Au nikuulize swali rais akizuia kuingiza dawa za ugonjwa wa kisukari watakaoumia ni watu milion 63?
Hakuna chanjo itakayofaa katika kila kundi na kila mtu ila chanio zilikuwa na wahitaji na ndio maana walichanja bila kulazimishwa.
Na ndio maana tulikemea uzuzu wa huyo Magufuli kuzuia chanjo ilhali kulikuwa na wahitaji ila yeye kwakuwa hakuitaji akafikiria sasa ni watu wote hawahitaji.