Kwa maamuzi haya ya Rais Trump bila shaka Hayati Magufuli alikuwa mbele ya muda

Kila mtu akiongelea ujinga wa yule mwehu mnasema ni cheti feki.

Kama aliwaaminisha hakopi anatumia pesa za ndani mkaamini basi hata kila anayemkosoa mtasema ni cheti feki.
Hata kama hakutumia fedha za ndani, value for money haikuonekana? huyu aliekopa mara 2 zaidi fedha value for money Iko wapi? Hebu turudi kwenye udhibiti na ulinzi wa rasirimali za nchi ambacho naamini ndio kipengele cha muhimu sana cha kumpima kiongozi, je, aligawa rasirimali za taifa Kwa mikataba ya kimangungo? utoaji wa huduma za kijamii uliekuwa Kwa kiwango gani? Hebu acheni chuki binafsi zisizo na sababu.
 
Tena hawa viongozi wa Africa ilitakiwa wakiwa wanazunguka na mabakuli Ulaya na US
Wangekuwa wanakabiliwa na vijana wadogo wa vyuo vikuu badala ya viongozi wao kwenye nchi Hisani

Hatufai kabisa na tumekuwa na ukilema flani hivi
Kweli mnaliwa na mamba kisa mnakatisha mto kama nyumbu wakati mabomba na vyuma na mbao zipo?
Halafu mnasema tuna uhuru
Hii ni kwa nchi masikini zote
Watu wanaiba hela zote za misaada sio wa kuhurumiwa
Trump shikilia hapo hapo
 
Umenena vyema
 
Mkuu umetazama takwimu ya misaada ambayo tanzania ilipokuwa katika kipindi hicho au unasema tu?
 
Kipindi cha magufuli ndio niliamini watanzania wengi wanamhitaji mkoloni arudi tena.


Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Magufuli alikuwa kichaa alikataa chanjo za Covid -19 kwa ujinga wake huku akisahau kuna watu walizihitaji chanjo hizo , naye Covid -19 ikamfyekelea mbali .

Huwezi kumlinganisha Trump na kichaa kama yule.
Acha wivu wa kike!
 
Magufuli alikuwa kichaa alikataa chanjo za Covid -19 kwa ujinga wake huku akisahau kuna watu walizihitaji chanjo hizo , naye Covid -19 ikamfyekelea mbali .

Huwezi kumlinganisha Trump na kichaa kama yule.
Wajinga bado wanaamin covid 19 ilikua threats kwa mtanzania
 
Mtanikumbuka....R.i.p shujaa Magu ulale pema peponi!
 
We mwanamke ilitakiwa uzikwe pamoja na jiwe,sio kwa kumpenda huko aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…