PostGE2025 Kwa maana nyingine serikali imekubali ripoti ya CNN, BBC na Al Jazeera ila hawajapenda namna walivyopata uthibitisho?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
wakuu,

Kwenye press hii Msigwa amseme walichokifanya CNN na wengine ni kinyume na maadili ya uandishi kwa kutokwenda kupata upande wa pili.

Wamesema kuweka picha za kutisha mtandani ni kinyume na maadili, kuonyesha picha za watu vimejaa damu, au wametobolewa ni kinyume na taratibu za uandishi.

Ila hakuna aliposema video zile za mauaji ni feki, hakuna aliposema video za polisi kupiga risasi raia ni AI, yaani kifupi ni kuwa hawajakana kilichotokea ila wamechukia tu namna walivyopata taarifa zile🤣🤣🤣
 
Yaani amekuja kuongea bullshit hadharani? Yeye ni wa kuifundisha media kingdom ya kina bbc, cnn, aljazeera kweli?

Wakubali wamevuliwa nguo
 
Back
Top Bottom