GE2025 Kwa maandalizi ambayo Mama Samia amefanya kwa ajili ya huu Uchaguzi Polepole na agenda zake anahitaji muujiza

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Benson Mramba

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
766
Reaction score
1,884
Kuna kitu kinaitwa point of no return it is either you win or loose in the battle field. Live or die hard

Mama Samia amesha invest sana kwa ajili ya kampeni za mwaka huu. Asipogombea kwa mfano nani atamfidia gharama zake? It's obvious hawezi kukubali hasara kubwa namna hii. Leo katika kuchukua fomu tu tumeona kielelezo kuanzia kwenye msafara wake hadi kwenye mkutano wa hadhara.

Kwa kweli Polepole kama yuko serious amechelewa sana kujitoleza otherwise tukubaliane kuwa anajenga msingi kwa ajili ya 2030. Kwa sasa ni uongo labda uje muujiza mkubwa sana.

Nakumbuka mimi nilifanya kazi kama ya Polepole dhidi ya CHADEMA na Mbowe mwaka 2017 ila nilikuja kueleweka 2024/2025.

Sioni Mama Samia anaachaje kugombea wakati ameshaingia gharama kubwa hata kama Chama kingekuwa hakimtaki.

Anyway iko series zamani ilikuwa inaitwa 24 labda Polepole ni muumini wa sadiki za tamthilia ile.
 
Mtu anahalalisha rushwa bado unampigia chapuo
 
2030 pole pole atakuwa marehemu kisiasa
 
Kwa hiyo kwa akili Yako ya kisusio, unaamini kabisa PolePole ana uwezo kwa ku force au kushawishi mgombea yeyote, let alone Mh Samia, kuwa asigombee?
 
Kufidiwa nini? Kama vile unalalisha matumizi ya pesa kwenye kuupata uongozi
 
Back
Top Bottom