Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Mtu anahalalisha rushwa bado unampigia chapuoKuna kitu kinaitwa point of no return it is either you win or loose in the battle field. Live or die hard
Mama Samia amesha invest sana kwa ajili ya kampeni za mwaka huu. Asipogombea kwa mfano nani atamfidia gharama zake? It's obvious hawezi kukubali hasara kubwa namna hii. Leo katika kuchukua fomu tu tumeona kielelezo kuanzia kwenye msafara wake hadi kwenye mkutano wa hadhara.
Kwa kweli Polepole kama yuko serious amechelewa sana kujitoleza otherwise tukubaliane kuwa anajenga msingi kwa ajili ya 2030. Kwa sasa ni uongo labda uje muujiza mkubwa sana.
Nakumbuka mimi nilifanya kazi kama ya Polepole dhidi ya CHADEMA na Mbowe mwaka 2017 ila nilikuja kueleweka 2024/2025.
Sioni Mama Samia anaachaje kugombea wakati ameshaingia gharama kubwa hata kama Chama kingekuwa hakimtaki.
Anyway iko series zamani ilikuwa inaitwa 24 labda Polepole ni muumini wa sadiki za tamthilia ile.
2030 pole pole atakuwa marehemu kisiasaKuna kitu kinaitwa point of no return it is either you win or loose in the battle field. Live or die hard