MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kuna Timu moja ina Washambuliaji Watatu wanaojua Kulazimisha Penati na kwa aina ya Mabeki Watatu wabovu wa Timu nyingine huenda Kesho Penati zikatokea nyingi.
Bahati nzuri MINOCYCLINE sina Timu.
Tafadhali sana Uongozi wa Yanga SC Sisi wana Yanga SC wenye Uchungu hapa JamiiForums wakiongozwa na Mimi MINOCYCLINE tunataka Kesho kipangwe Kikosi hiki tu na hatutaki mkibadilishe kwa sasa Yanga SC nzima Wachezaji wazuri ni hawa niliowataja hapa na waliobakia ( nisiowataja ) ndiyo Wabovu kabisa, hawatufai na ikiwezekana tuwateme ( tuwaache ) kabisa mwisho wa Msimu.
Kesho itawageukia na mpaka dakika hii wameshaishiwa nguvu tokea waumbuke na ule moto kule southKuna Timu moja ina Washambuliaji Watatu wanaojua Kulazimisha Penati na kwa aina ya Mabeki Watatu wabovu wa Timu nyingine huenda Kesho Penati zikatokea nyingi.
Bahati nzuri MINOCYCLINE sina Timu.