Kwa Maandalizi niliyoyaona kama Kesho Refa Kayoko akifuata Sheria zote 17, Kuna Timu itafungwa vibaya na hawatoamini

Kwa Maandalizi niliyoyaona kama Kesho Refa Kayoko akifuata Sheria zote 17, Kuna Timu itafungwa vibaya na hawatoamini

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kuna Timu moja ina Washambuliaji Watatu wanaojua Kulazimisha Penati na kwa aina ya Mabeki Watatu wabovu wa Timu nyingine huenda Kesho Penati zikatokea nyingi.

Bahati nzuri MINOCYCLINE sina Timu.
 
Kuna Timu moja ina Washambuliaji Watatu wanaojua Kulazimisha Penati na kwa aina ya Mabeki Watatu wabovu wa Timu nyingine huenda Kesho Penati zikatokea nyingi.

Bahati nzuri MINOCYCLINE sina Timu.
Tafadhali sana Uongozi wa Yanga SC Sisi wana Yanga SC wenye Uchungu hapa JamiiForums wakiongozwa na Mimi MINOCYCLINE tunataka Kesho kipangwe Kikosi hiki tu na hatutaki mkibadilishe kwa sasa Yanga SC nzima Wachezaji wazuri ni hawa niliowataja hapa na waliobakia ( nisiowataja ) ndiyo Wabovu kabisa, hawatufai na ikiwezekana tuwateme ( tuwaache ) kabisa mwisho wa Msimu.
 
Kuna Timu moja ina Washambuliaji Watatu wanaojua Kulazimisha Penati na kwa aina ya Mabeki Watatu wabovu wa Timu nyingine huenda Kesho Penati zikatokea nyingi.

Bahati nzuri MINOCYCLINE sina Timu.
Kesho itawageukia na mpaka dakika hii wameshaishiwa nguvu tokea waumbuke na ule moto kule south
 
Nguvu Mmoja...

Tunakimbiza Mwizi kimya kimya.

Mpaka wasemaji wao wanashangaa na ukimya uliopo,wanatulazimisha tuseme..
Waje tu kesho uwanjani watakachokutana nacho hawataamini.
 
Back
Top Bottom