Kwa mademu wachunaji, mkinichukia poa tu!

tena unakuta mwingine anadai na hela ya MATUMIZI kabisa. Eti dear hela ya matumiz mbona hujaacha nitumie basi kwenye M-PESA! Yaani hapo hana hata hamu ya kukuona ye anataka pesa itumwe, wewe ukafie mbele!
 
nakukubali sana stunter, keep it up my brother
 
Dawa ni HIT & RUN. Yaani hakikisha unatoa hela siku unaenda kupiga mzigo baada ya hapo tusijuane *****.
**inabid mtu kuwa na line ya Magumasho ya HALOTEL au ZANTEL ukimaliza kazi unatupa kule.
 
Itakuwa ulikutana na vivulana wewe, haujawahi kukutana na dume la mbegu
 
Achana na madem jibaba.Wewe piga bia na nyama choma yako kisha unaenda kulala.
Its better to be alone, than to be with someone who makes you feel alone
 
Aisee mi nilikuwa na kidemu flan amazing enzi hizo full mizinga hadi kero...mara dia nimepoteza laki 3 ya mama akijua atanifukuza home nitumie nimrudishie...mara kuna kitchen party sare laki na nusu...
 
hahaha, pole sana
 
Kweli kabisa, wengi huwa wanajitakia wenyewe
 
Alafu mnaotoaga mada hiz ndo walaiiiini mnatafuta confidence tu muonekane vidume kumbe mnachunwa hadi mnaweka rehan atm. Shame on you.
Hahahahah... Mkuu nitakutafuta hahahha
 
Aisee mi nilikuwa na kidemu flan amazing enzi hizo full mizinga hadi kero...mara dia nimepoteza laki 3 ya mama akijua atanifukuza home nitumie nimrudishie...mara kuna kitchen party sare laki na nusu...
Labda alikuona Chimwaga
 
Dawa ni HIT & RUN. Yaani hakikisha unatoa hela siku unaenda kupiga mzigo baada ya hapo tusijuane *****.
**inabid mtu kuwa na line ya Magumasho ya HALOTEL au ZANTEL ukimaliza kazi unatupa kule.
Hahahah... Hiyo ni hatari aisee, siku mkikutana njiani sipati picha utakavyozuga ili asikuone
 
tena unakuta mwingine anadai na hela ya MATUMIZI kabisa. Eti dear hela ya matumiz mbona hujaacha nitumie basi kwenye M-PESA! Yaani hapo hana hata hamu ya kukuona ye anataka pesa itumwe, wewe ukafie mbele!
Ndomana skuizi vijana wameamua bora hela wakazitolee Lodge
 
Bado kwa hali ya sasa wataongezeka, ila kauli watabadilisha na Kuwa...
Baby naomba hata buku nikanunue unga na dagaa
Kwani wanajua kupika hadi waombe za dona na dagaa? Demu anaewaza burger za Steers na sandwich za American Garden anajua hata kuchemsha maji ya chai? Acha utani bro!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…