Kwa madereva: Tuliowahi kutokewa na mauzauza barabarani tupeane uzoefu

Alishikwa na bumbuwazi , katika hali hiyo angeeleza nini ? Ni vitu visivyoelezeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama una roho nyepesi ndio mwisho wa kuendesha masafa marefu [emoji851][emoji851]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sisi tunaoenda safari ndefu, tunaambiwa hao ni majini wasumbufu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nishakutana na mwanamama,anatembea katikati ya barabara saa 7 usiku ukipita chalinze mjini kama km 15 kwendea dar,nilimkwepa na nilikua zaidi speed 120,niliokua nao kwenye gari wakanilaumu sana kwann sikumgonga eti yule ni jini,nikawaambia mbona nimemkwepa na tunaendelea na safari,kuna wengine wanakua wamerukwa akili tu,unamgonga then unafupisha maisha ya binadamu mwenzio kwa ajili ya kuamini imani za ajabu ajabu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh mkuu aliweza kuja dirishani huku upo speed hyoo?

mndamba kutoka Ifakara
 
M

Mimi huwa nanyoosha goti tu sikwepi kitu mwaka 1993 nilimkwepa mbuzi nikajikuta niko mtaroni hata mbuzi simuoni tena LEYLAND la watu likiwa chakari cabin imebonyea ila sikuumia
Mkuu, now ushakuwa mzoefu

mndamba kutoka Ifakara
 
Ndoto, usingizi na imani za kishirikina.

Hakuna kitu. Why usiku na si mchana??

Why barabarani tu na si njia ya train, Angani au Majini??.

Story za abunwasi na changamsha genge.

Nishasafiri Barabara nyingi, masaa yote kuspan 24 hours sijashuhudia hayo.

Ulongo tu na kutiana woga, kuwapa ulaji waganga wa kienyeji wafanye zindiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…