Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,475
- 1,860
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia lile Ringi kama kuna hatari linabana pale kwenye gap.MKUU KUNA siku nilikuwa nakwenda TANGA,,,nipo na jamaa kama 4 kwenye GARI ndogo nikiwa naendesha ,, nakumbuka tulitoka hapa DAR ,mapema kama SAA 12 jioni,,tukaenda mdogo mdogo kufika CHALINZE tukatulia SEHEM vurugu za MABASI NA MAFUSO ZIPUNGUWE,,,kufika kama SAA 4 USIKU tukaanza safari ya kwenda NGAMIANI TANGA,,,TUKIWA kwenye gari story ziliendelea kama kawaida ili DEREVA NISILALE.,,tukaipita MSATA,,salama,,WAMI,,, MKATA,,SEGERA hyo,,,,Salama salmini, HALE ,, tukatoboa MUHEZA SAA nane USIKU,muda huo wenzangu wote nilihisi wamelala,maana ilikuwa kmya,,nlikuwa nasikiliza MVUMO WA INJINI YA GARI NA UPEPO TU,,, sasa balaa likaanza TUMEFIKA kuna SEHEM inaitwa MKANYAGENI,,nikaona mbele kama mita 50 kuna MWANAMKE katikati ya Barabara,,kakaa chini tena yupo UCHI WA MNYAMA,,,amekaa mkao wa kunyoosha miguu kuangalia tulipokuwa tunakuja,,Nikasikia KELELE MMOJA,,,wa JAMAA yangu aliyokuwa mbele ananambiya KANYAGA MAFUTA,,USIFUNGE brake TUTAKUFA,,MCHAWI YULE,,,,,jamaa wote waliamka,,,wakati huo nilikuwa nipo SPEED KAMA 120 HIVI...basi nikakanyaga mafuta nikampitia yule MAMA katikati ,,,means NIMEMGONGA,,,lakini sikusikia DALILI YEYOTE YA KUGONGA,,,,muda huo watu wote walikuwa macho,,,,huku tukiwa na Taharuki ya kugonga MTU,,,nilizidisha speeds ya gari hadi NGAMIANI MJINI,kwa kuwa ilikuwa ni USIKU ilibidi kusubiri kukuche, ,ilipofika ASUBUHI nikaanza kuikaguwa GARI,,AJABU haikuonyesha DALILI YEYOTE YA KUGONGA MTU,,aisee tulishangaa sana,,wala hakuna DALILI KWAMBA TULIGONGA MTU PALE,,PIA,,TULISHANGAA SANA,,, KUNA SIKU ingine nipo PEKE YNGU kwenye GARI,,,ilikuwa kama SAA NANE za USIKU ,, Barabara ya MOROGORO maeneo ya MAGARI SABA DARESALAM , ,,njia ilikuwa imetulia sana muda huo,,,NIKIWA SPEEDS PEKE YNGU BARABARANI,,,,,,mbele kidogo nikaona LORI LINAKUJA KWA KASI WRONG SITE,,means limehama UPANDE wake linakuja kwngu,,ikabidi NIHAME UPANDE wa pili KULIPISHA,,,kuangalia kulia naona kuna LORI LINGINE limewasha taa nalo linakuja kwa speed,,Duu,yaani nipo katikati UPANDE wa kushoto kuna LORI LINAKUJA UPANDE WNGU,,na kulia pia KUNA Lori kwa kifupi niliwekwa katikati ya magari mawili yanayokuja mbele yngu kwa KASI KUBWA,,nilihisi mikono imekufa GANZI,,,pale pale nikapata UJASIRI NIKASEMA MIMI hapa SIENDI PEMBENI,,maana huko pembeni kuna MAKORONGO ,, wakati natafakari ZILE LORI hizi hapa karibu yngu,,yaani zinakuja kwa pamoja mbele yangu,,,,zikiwa zimewasha taa fully..basi na Mimi sijuwi nilipata ujasiri GANI,, nikajikuta nimeng'ang'ania steering huku nakanyaga mafuta,,,kufumba na kufumbuwa nikajiona nimepita katikati ya yale malori lakini sijasikia kishindo,,au DALILI ya KUGONGA,,, na sehemu niliyopita katikati YAKE hata BODABODA HAIPITI..NIKAGEUKA NYUMA SIKUONA HATA DALILI YA GARI KUPISHANA NALO,,..HAPO nilikuwa natetemeka na gari ilizima kwa woga,,,,KESHO,,, nilipo muhadithia jamaa yng mmoja akaniuliza HIVI UNAJUWA YALE MARINGI YA SHABA,, WANAYOVAA MADEREVA WA MASAFA MAREFU MKONONI NI YA KAZI GNI? MFANO MADEREVA WA MALORI AU MABASI MAKUBWA YA MIKOANI,,,,WENGI WAO WANA MARINGI YA SHABA MKONONI,, nikamwambiya sijuwi,,akasema WAULIZE,,vinginevyo usipende kutembea usiku wa manane,,especially peke YAKO,, nikakumbuka kuna kitu natakiwa nikifanye kama DEREVA WA USIKU....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mzoefu wa safari za usiku na sikuwahi kuona maluelue yoyote! Mimi nadhani ni imani tu. Wengi wanakutana na watu kama walevi, viziwi au vichaa wakivuka barabara na kuoanisha na imani za kishirikina. Hofu yangu ni kuona watu wanahamasishana kuua kwa kugonga bila kujali ni binadamu wenzetu.Hiyo kawaida kabisa kwa sisi tunao safiri safari kila mkoa mara nyingine unamkuta bibi tena yule unaemfaham lakini alishakufa au mbabu na bakora mkononi wakati mwingine unaona picha ya jeneza kabisa limefunguliwa na sanda ipo au mtoto mdogo anatambaa yaani tushazoea wala hofu ile haipo tena.
Onyo.ukiona vitu kama hivyo usijaribu kukwepa au kushika break inakula kwako.
Mi kukna siku naenda dodoma niko na ford new model kuna kizee kilitokea vichakani kikasimama ghalfa barabarani haki ya (mungu mungu nisamehe)nilikaza mikono kushika steling vizuri nilimpa nikafumba macho ili nisione ninavyoua huwezi amini nilimpita na sikusikia kishindo chochote na nilienda mbele kama 4 klmtrs nikapaki gari kuangalia sikuona tatizo kwenye gari na niliendekea nabsafari yangu bila presure.
Mimi ni mzoefu wa safari za usiku na sikuwahi kuona maluelue yoyote! Mimi nadhani ni imani tu. Wengi wanakutana na watu kama walevi, viziwi au vichaa wakivuka barabara na kuoanisha na imani za kishirikina. Hofu yangu ni kuona watu wanahamasishana kuua kwa kugonga bila kujali ni binadamu wenzetu.Usiku una mengi sana. Mnaoendesha mna mioyo ya akajabu. Ikishafikaga saa sita usiku niko safarini sikai kwa amani kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwendaaa! Kuna dereva anaanza kufuatilia alomgonga kweli? Seriously???Habari wana JF,
Nimekua nikisikia kwamba barabarani Kuna vitimbwi vya mauza uza nikawa siamini, sasa ni juzi nilikua natoka Arusha kuelekea Kibaha. Nilifika sehemu jina silifahamu, ni kijiji baada ya kutoka Mombo.
Ni kwamba nikiwa kwenye mwendo alitokea mtu upande wa kushoto akawa anaingia barabarani Kama vile haioni gari nikapunguza mwendo na kupiga honi, nikitumaini jamaa atasimama ama kustuka, badala yake akaongeza spidi na kuliingia gari upande ule ule wa kushoto mimi na jamaa yangu tukasikia kishindo, side mirror ikavunjika ikaweka na kreki mbaya sana kwenye kioo cha mlango wa kushoto.
Nilisimamisha gari fasta tukashuka na kuangalia tunamuona yule mtu anakwenda tu kwa spidi ile ile, kama vile hakikutokea chochote. Tukawa tunashangaa basi yule mtu akaingia kama kwenye kichochoro Kati ya nyumba mbili, hii nyumba ya kulia Kuna jamaa alikua ameketi kibarazani amepaki pembeni gari aina ya vitz.
Tukamfuata jamaa yangu akamuuliza, Ndugu huyu mtu amekatiza hapa unamfahamu ? Maana tumemgonga na gari tumesimama ili tumtazame lakini cha kushangaza jamaa hakuanguka wala kuyumba ameelekea huku. Cha kushangaza tena, Jamaa akatuambia, nyie mpo salama? Tukamjibu ndio. Akasema basi shukuruni nyie endeleeni na safari. Nikamuuliza mbona hatuelewi?
Badala ya kujibu akabaki ametukazia macho jamaa yangu akanishika mkono na kunivuta tukaondoka. Lakini mpaka sasa hivi tumebaki na maswali vichwani mwetu.
Ni nini hasa kilitokea....
Asanteni
Asante mkuu. Nina uhakika wengi ni ama vichaa au walevi au walemavu (hawaoni au kusikia vizuri) na watu kwa imani zao za kishirikina wanahasishana kuua kwa kukusudia. Kweli ukifikiri elimu ni gharama basi jaribu ujinga!Nishakutana na mwanamama,anatembea katikati ya barabara saa 7 usiku ukipita chalinze mjini kama km 15 kwendea dar,nilimkwepa na nilikua zaidi speed 120,niliokua nao kwenye gari wakanilaumu sana kwann sikumgonga eti yule ni jini,nikawaambia mbona nimemkwepa na tunaendelea na safari,kuna wengine wanakua wamerukwa akili tu,unamgonga then unafupisha maisha ya binadamu mwenzio kwa ajili ya kuamini imani za ajabu ajabu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna habari iliwahi kurushwa redioni, kule kishapu shinyanga wakati huo, mkuu wa wilaya alisimamishwa na babu mmoja ili amsaidie kusogeza matofali, na mkuu akasema huyu babu anasemaje huyu, aka akili sawasawa ? Akamwamuru dereva wake waondoke. Babu akakaa. Wakaingia kwenye gari wakawasha wakajiona wanaenda kwa masaa zaidi ya manne hawakuwa wamefika na no mahali pa kwenda kwa nusu saa,. Walipo simamisha gari kutoka nje wakajikuta wapo pale pale hawajaondoka. Ilibidi wamwombe mzee wampe na hela ya kuweka kibarua mtu abebe. Ndipo babu akawaruhusu wakaondokaHakika nisiwe mwongo, nasafiri sana usiku tena pekeyangu sijawahi kuona chochote kitu. Haya ni maneno ya waafrika wenye uoga moyoni na imani za kujumlisha.
Baby wewe si mtu wa huko ? Naomba nisaidie kwa hilo, ilikua ni nini, angalau nifahamu, unajua sina amani kabisa ?
Jini ukilipita kama unaligonga husikii chochote lakini huyu mtu tulimgonga na athari tuliipata lakini anaendelea na safari yake, je ni kitu gani ?Huyo jamaa aliyewauliza "nyie wenyewe mpo salama?"..ndiye mwenye hilo jini..
poleni kwa changamoto.
Malizia stori mkuu,ikawaje?MKUU KUNA siku nilikuwa nakwenda TANGA,,,nipo na jamaa kama 4 kwenye GARI ndogo nikiwa naendesha ,, nakumbuka tulitoka hapa DAR ,mapema kama SAA 12 jioni,,tukaenda mdogo mdogo kufika CHALINZE tukatulia SEHEM vurugu za MABASI NA MAFUSO ZIPUNGUWE,,,kufika kama SAA 4 USIKU tukaanza safari ya kwenda NGAMIANI TANGA,,,TUKIWA kwenye gari story ziliendelea kama kawaida ili DEREVA NISILALE.,,tukaipita MSATA,,salama,,WAMI,,, MKATA,,SEGERA hyo,,,,Salama salmini, HALE ,, tukatoboa MUHEZA SAA nane USIKU,muda huo wenzangu wote nilihisi wamelala,maana ilikuwa kmya,,nlikuwa nasikiliza MVUMO WA INJINI YA GARI NA UPEPO TU,,, sasa balaa likaanza TUMEFIKA kuna SEHEM inaitwa MKANYAGENI,,nikaona mbele kama mita 50 kuna MWANAMKE katikati ya Barabara,,kakaa chini tena yupo UCHI WA MNYAMA,,,amekaa mkao wa kunyoosha miguu kuangalia tulipokuwa tunakuja,,Nikasikia KELELE MMOJA,,,wa JAMAA yangu aliyokuwa mbele ananambiya KANYAGA MAFUTA,,USIFUNGE brake TUTAKUFA,,MCHAWI YULE,,,,,jamaa wote waliamka,,,wakati huo nilikuwa nipo SPEED KAMA 120 HIVI...basi nikakanyaga mafuta nikampitia yule MAMA katikati ,,,means NIMEMGONGA,,,lakini sikusikia DALILI YEYOTE YA KUGONGA,,,,muda huo watu wote walikuwa macho,,,,huku tukiwa na Taharuki ya kugonga MTU,,,nilizidisha speeds ya gari hadi NGAMIANI MJINI,kwa kuwa ilikuwa ni USIKU ilibidi kusubiri kukuche, ,ilipofika ASUBUHI nikaanza kuikaguwa GARI,,AJABU haikuonyesha DALILI YEYOTE YA KUGONGA MTU,,aisee tulishangaa sana,,wala hakuna DALILI KWAMBA TULIGONGA MTU PALE,,PIA,,TULISHANGAA SANA,,, KUNA SIKU ingine nipo PEKE YNGU kwenye GARI,,,ilikuwa kama SAA NANE za USIKU ,, Barabara ya MOROGORO maeneo ya MAGARI SABA DARESALAM , ,,njia ilikuwa imetulia sana muda huo,,,NIKIWA SPEEDS PEKE YNGU BARABARANI,,,,,,mbele kidogo nikaona LORI LINAKUJA KWA KASI WRONG SITE,,means limehama UPANDE wake linakuja kwngu,,ikabidi NIHAME UPANDE wa pili KULIPISHA,,,kuangalia kulia naona kuna LORI LINGINE limewasha taa nalo linakuja kwa speed,,Duu,yaani nipo katikati UPANDE wa kushoto kuna LORI LINAKUJA UPANDE WNGU,,na kulia pia KUNA Lori kwa kifupi niliwekwa katikati ya magari mawili yanayokuja mbele yngu kwa KASI KUBWA,,nilihisi mikono imekufa GANZI,,,pale pale nikapata UJASIRI NIKASEMA MIMI hapa SIENDI PEMBENI,,maana huko pembeni kuna MAKORONGO ,, wakati natafakari ZILE LORI hizi hapa karibu yngu,,yaani zinakuja kwa pamoja mbele yangu,,,,zikiwa zimewasha taa fully..basi na Mimi sijuwi nilipata ujasiri GANI,, nikajikuta nimeng'ang'ania steering huku nakanyaga mafuta,,,kufumba na kufumbuwa nikajiona nimepita katikati ya yale malori lakini sijasikia kishindo,,au DALILI ya KUGONGA,,, na sehemu niliyopita katikati YAKE hata BODABODA HAIPITI..NIKAGEUKA NYUMA SIKUONA HATA DALILI YA GARI KUPISHANA NALO,,..HAPO nilikuwa natetemeka na gari ilizima kwa woga,,,,KESHO,,, nilipo muhadithia jamaa yng mmoja akaniuliza HIVI UNAJUWA YALE MARINGI YA SHABA,, WANAYOVAA MADEREVA WA MASAFA MAREFU MKONONI NI YA KAZI GNI? MFANO MADEREVA WA MALORI AU MABASI MAKUBWA YA MIKOANI,,,,WENGI WAO WANA MARINGI YA SHABA MKONONI,, nikamwambiya sijuwi,,akasema WAULIZE,,vinginevyo usipende kutembea usiku wa manane,,especially peke YAKO,, nikakumbuka kuna kitu natakiwa nikifanye kama DEREVA WA USIKU....
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea kitu cha maana, at least nimepata mwanga.MKUU KUNA siku nilikuwa nakwenda TANGA,,,nipo na jamaa kama 4 kwenye GARI ndogo nikiwa naendesha ,, nakumbuka tulitoka hapa DAR ,mapema kama SAA 12 jioni,,tukaenda mdogo mdogo kufika CHALINZE tukatulia SEHEM vurugu za MABASI NA MAFUSO ZIPUNGUWE,,,kufika kama SAA 4 USIKU tukaanza safari ya kwenda NGAMIANI TANGA,,,TUKIWA kwenye gari story ziliendelea kama kawaida ili DEREVA NISILALE.,,tukaipita MSATA,,salama,,WAMI,,, MKATA,,SEGERA hyo,,,,Salama salmini, HALE ,, tukatoboa MUHEZA SAA nane USIKU,muda huo wenzangu wote nilihisi wamelala,maana ilikuwa kmya,,nlikuwa nasikiliza MVUMO WA INJINI YA GARI NA UPEPO TU,,, sasa balaa likaanza TUMEFIKA kuna SEHEM inaitwa MKANYAGENI,,nikaona mbele kama mita 50 kuna MWANAMKE katikati ya Barabara,,kakaa chini tena yupo UCHI WA MNYAMA,,,amekaa mkao wa kunyoosha miguu kuangalia tulipokuwa tunakuja,,Nikasikia KELELE MMOJA,,,wa JAMAA yangu aliyokuwa mbele ananambiya KANYAGA MAFUTA,,USIFUNGE brake TUTAKUFA,,MCHAWI YULE,,,,,jamaa wote waliamka,,,wakati huo nilikuwa nipo SPEED KAMA 120 HIVI...basi nikakanyaga mafuta nikampitia yule MAMA katikati ,,,means NIMEMGONGA,,,lakini sikusikia DALILI YEYOTE YA KUGONGA,,,,muda huo watu wote walikuwa macho,,,,huku tukiwa na Taharuki ya kugonga MTU,,,nilizidisha speeds ya gari hadi NGAMIANI MJINI,kwa kuwa ilikuwa ni USIKU ilibidi kusubiri kukuche, ,ilipofika ASUBUHI nikaanza kuikaguwa GARI,,AJABU haikuonyesha DALILI YEYOTE YA KUGONGA MTU,,aisee tulishangaa sana,,wala hakuna DALILI KWAMBA TULIGONGA MTU PALE,,PIA,,TULISHANGAA SANA,,, KUNA SIKU ingine nipo PEKE YNGU kwenye GARI,,,ilikuwa kama SAA NANE za USIKU ,, Barabara ya MOROGORO maeneo ya MAGARI SABA DARESALAM , ,,njia ilikuwa imetulia sana muda huo,,,NIKIWA SPEEDS PEKE YNGU BARABARANI,,,,,,mbele kidogo nikaona LORI LINAKUJA KWA KASI WRONG SITE,,means limehama UPANDE wake linakuja kwngu,,ikabidi NIHAME UPANDE wa pili KULIPISHA,,,kuangalia kulia naona kuna LORI LINGINE limewasha taa nalo linakuja kwa speed,,Duu,yaani nipo katikati UPANDE wa kushoto kuna LORI LINAKUJA UPANDE WNGU,,na kulia pia KUNA Lori kwa kifupi niliwekwa katikati ya magari mawili yanayokuja mbele yngu kwa KASI KUBWA,,nilihisi mikono imekufa GANZI,,,pale pale nikapata UJASIRI NIKASEMA MIMI hapa SIENDI PEMBENI,,maana huko pembeni kuna MAKORONGO ,, wakati natafakari ZILE LORI hizi hapa karibu yngu,,yaani zinakuja kwa pamoja mbele yangu,,,,zikiwa zimewasha taa fully..basi na Mimi sijuwi nilipata ujasiri GANI,, nikajikuta nimeng'ang'ania steering huku nakanyaga mafuta,,,kufumba na kufumbuwa nikajiona nimepita katikati ya yale malori lakini sijasikia kishindo,,au DALILI ya KUGONGA,,, na sehemu niliyopita katikati YAKE hata BODABODA HAIPITI..NIKAGEUKA NYUMA SIKUONA HATA DALILI YA GARI KUPISHANA NALO,,..HAPO nilikuwa natetemeka na gari ilizima kwa woga,,,,KESHO,,, nilipo muhadithia jamaa yng mmoja akaniuliza HIVI UNAJUWA YALE MARINGI YA SHABA,, WANAYOVAA MADEREVA WA MASAFA MAREFU MKONONI NI YA KAZI GNI? MFANO MADEREVA WA MALORI AU MABASI MAKUBWA YA MIKOANI,,,,WENGI WAO WANA MARINGI YA SHABA MKONONI,, nikamwambiya sijuwi,,akasema WAULIZE,,vinginevyo usipende kutembea usiku wa manane,,especially peke YAKO,, nikakumbuka kuna kitu natakiwa nikifanye kama DEREVA WA USIKU....
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaaa,, kudadek walaiKuna ndugu yangu mmoja anaendesha magari makubwa, ilikua trip ya kutoka wilayani kuelekea mwanza (approx 200Km)
alianza safari saa 12 jioni mpaka kunakucha hajafika alikua anakutana na barabara nyingi ambazo akizifuata zinaishia mitoni
wachawi pumbavu zao
linabanaje asee??Nasikia lile Ringi kama kuna hatari linabana pale kwenye gap.
Kila unayemuuliza ana story YAKE,,mwingine anasema inazuia RADI NA WACHAWI ,,,ila MADEREVA wengi long trip lazima wavae RINGI YA SHABA,,,mkononi,,,Nasikia lile Ringi kama kuna hatari linabana pale kwenye gap.
Sio story mkuu,,,it was really,. unajuwa ktk maisha kuna vitu hadi ukutane navyo mwenyewe,,,ukihadithiwa utaona ni story