Kwa madudu anayoanika CAG, kumbe Magufuli uongozi wake ulikuwa sifuri tu

Hivi Ile trillion moja hadi leo haijafahamika iliishia wapi?.
 
Yapi mliofishwa ? Wapi kwendazake alishidwa ? Wapi hela zilitafunwa ? Mwache Apumzike kwa amani baba wa watu. RIP magu
 
Mama Aanze Na CAG Huyu Afutwe Kazi Haraka
Alifumbia Maovu Wakati Aliyaona Hadharani
[emoji21][emoji57][emoji848][emoji378][emoji876][emoji97][emoji100][emoji94]
Kivipi??.Mama mwenyewe alikuwa kwenye system ya Jiwe.
 
Mama hawa wahuni na majizi ni lazima awashughulikie ipasavyo na bila kuchelewa.
Dotto siku zake zinahesabika...

Mama asipomzingua, sisi tutamlilia Mungu kama kawaida yetu
 
Mnapambana na ufisadi kwa kuukumbatia?
 
Na vyombo vya habari
Tawala bora na nguzo zake inasaidia kuanika haya mambo

Ukiona mtu anaukataa ujue kuna jambo

Mama aruhusu vyama vya upinzani waongee watakusaidia kupunguza hawa walaji mchwa
 
Kivipi??.Mama mwenyewe alikuwa kwenye system ya Jiwe.
Truth is, mama Alitalia juizulu km mara tatu na mambo mengine hayasemwi hadharani ila niwe hakiwa na ukaribu na mama. Alitumia katiba hapo vizuri kufanya mama helping hand na ndo ilivo kwa mujibu wa katiba, nakamura wa raisi ni masidizi na maagizo yote ni kutokana na maamrisho kutoka kwa bosi wake. In short she was a ceremonial leader
 
Kwenda huko, wazalendo wababaishaji tu.
 
Hakuna hata nchi moja duniani iliyomaliza corruption kwa 100%. Serikali ya magufuli ilisifika kwa kupunguza corruption lakini wapiga deal waliendelea. Je kama ilitokea wakati huo kwa mtu aliyekuwa mkali sana kwa corruption je wakati hu?
 
Said Nassoro Bahaile kapiga bilioni 34.3 Duhh kweli awamu ya tano kiboko
 
Mtu msafi Katu hawezi ogopa vyombo vya habari.
Ukiona mtu mkali jua kuna dhambi anaficha
 
Hakuna hata nchi moja duniani iliyomaliza corruption kwa 100%. Serikali ya magufuli ilisifika kwa kupunguza corruption lakini wapiga deal waliendelea. Je kama ilitokea wakati huo kwa mtu aliyekuwa mkali sana kwa corruption je wakati hu?
Corruption ipi aliyopunguza hali wapiga dili wenzake ndio aliwapa sehemu nyeti.
 
Jiwe namfananisha na bossi mmoja aliyekuwa akiwabana wa chini yake wasile Ili wakija kuchunguza wamkute ni msafi kumbe anawabana sana wa chini wengi huku anazipiga na wajuu wachache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…