Yule haozi anateketea mzima mzima kama barafu inavyoyeyukaNdiomaana alikua anahangaika na kufungia wanaharakati na vyombo vya habari ili uozo wake usijulikane yaani kaaibika hata hajaoza vizuri shwenzyyy
Kwenye bold hapo tafadhali ushike adabu yako kabisa π π πUkiwa dikteta na sheria sahihi wizi unaweza kuisha bana,,ila shida wapi uliona mtu aliyeiba pesa nyingi akafungw tz, unaiba mamilioni unafungwa miezi au,kifungo cha nje na kufagia mhimbili
Ukisema hivyo mama mwenyewe ataondoka kwa sababu yeye ndo alifuata baada ya aliyekuwa raisMama Aanze Na CAG Huyu Afutwe Kazi Haraka
Alifumbia Maovu Wakati Aliyaona Hadharani
π£ππ€π£πΆπ¦π¨π«
Watatusaidia kama watasema mahela waliyo hongwa kuhamia huko ambayo payment zake hazikulipiwa taxiIlani ya ccm 2020 - 2025 inasema tutaendelea kupambana na rushwa na ufisadi kwa nguvu zote.
Haisemi ufisadi umeisha.
Hata Ulaya kina Morinyo, Messi, Ronaldo mara kwa mara tunasikia aamepelekwa mahakamani kwa kukwepa kodi.
Hata Chadema wabunge wengi walihama mwaka jana sababu ya ufisadi michango yao. Kinachotakiwa ni kuendelea kupambana na ufisadi
Kitambo tu tangu ujenzi tulijua mbona.Tatizo la jiwe aliminya uhuru wa vyombo vyote vya habari ambavyo vingesimama kidete kufichua maovu kama haya,infact hata taasisi kama ya CAG aliminya kias kwamba wasingeweza kutoa madudu kama haya,leo hayupo uozo wote tutaujua,kumbe Naye alikuwa mpigaji tuuh
Wewe unafikiri ni kitu gani kilimuondoa CAG Prof. Assad???mama hajawahi kuamrisha CAG asome kipi na aache kipi anataka unga umwagike wote
Alizuia BUNGE LIVE kwa muktadha huohuo wa KUFICHA UOZA NA MADUDU YA SERIKALI YAKE YA HOVYO...!!!Kitambo tu tangu ujenzi tulijua mbona.
Zile mbwembwe za kukataa kupokea barabara mbona alikuwa atupi mrejesho anapiga kimya.
Umewahi ona amewahi toa mrejesho kwamba hii niliikataa wamerekebisha.
Alikuwa ni janja janja propagandist Mkubwa huku akiminya uhuru wa habari.
Naamini kama angekuwepo, basi haya yote tusingeyasikia! Ingeandaliwa ripoti nyingine kabisa yenye masifu mengi na kika aina ya pongezi.Mtanikumbuka Siyo Kwa Mabaya Lakini Kwa Mazuri
Haa ππππ
Tanzania Ni Tajiri
Walikuwa Wanapiga Tu. Sheria Ipitiwe Upya
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
CAG Alikuwa Wapi Wakati Wa Jiwe π
Kweli kuna mtu kapost report ya CAG, nimeshuhudia watu wakicharuka wanatamani hadi kumpiga mtoa post.it's just a matter of time